Demu wa mdogo wangu kanifungukia, nipo njia panda!

Mojawapo ya codes za wanaume Ni usithubutu kutongoza demu ama ex wa rafiki yako.We jamaa naona Kama unataka kuvunja hiyo bro code na utakuwa umekosea Sana.

Hapo utakuwa umeharibu uhusiano wako na huyo mdogo wako na mtaishi Kama maadui siku zote.
Wewe mpotezee huyo demu Kisha tafuta mwingine ukaoe.
 
Mwanangu umenitachi kinoma
 
Ulioa sehemu masikini

So ukatumia utajir wako kumtesa masikini

Malipo hapahapa duniani oa huyo utombewe na dogo
Sijasema mm tajiri ila nilioa sehemu maskini na sasa kaja mtoto kwao matajiri naona haitakua tabu... kuhusu kutombewa si tatizo kwani nani asiyetombewa??
 
Mkuu niamini mi sijapindua meza ila demu mwenyewe kaelewa mzikii maana nami sifa za mvuto kwa mademu kimtindo nnazo so sishangai hasa kuoendwa na mashemej
Haya fanya maneno tumekuelewa. Lakini Tutakuamini vipi kwamba una mvuto, bila picha uliyosimama,tuone na miguu kama unavutia kweli. Hiyo picha haraka ili usaidiwe kwa haraka
 
Haya fanya maneno tumekuelewa. Lakini Tutakuamini vipi kwamba una mvuto, bila picha uliyosimama,tuone na miguu kama unavutia kweli. Hiyo picha haraka ili usaidiwe kwa haraka
Nnayo niliyosimamisha mguu mmoja vip ni post??
 
Yaan story yako haina tofauti na demu mwenye miguu yote ya kushoto.
 
Wewe ni storyteller mzuri
 
Matatizo yanakunyemelea. Ukimgusa tu huyo dada, hata kama usipo muoa tayari utakuwa umejiingiza katika matatizo ambayo utajuta baadae.

Chagua furaha, chagua amani. Mpotezee...yaani mwambie kabisa apite hivi......
 
Heeee
 
Mhh ebu funguka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…