Demu wa mdogo wangu kanifungukia, nipo njia panda!

Demu wa mdogo wangu kanifungukia, nipo njia panda!

Mojawapo ya codes za wanaume Ni usithubutu kutongoza demu ama ex wa rafiki yako.We jamaa naona Kama unataka kuvunja hiyo bro code na utakuwa umekosea Sana.

Hapo utakuwa umeharibu uhusiano wako na huyo mdogo wako na mtaishi Kama maadui siku zote.
Wewe mpotezee huyo demu Kisha tafuta mwingine ukaoe.
 
Back
Top Bottom