yani unaenda kwake na buku tano?
afu hiyo ni ya kuanzia mishe zako asubuhi unachekesha
kuna haja ya kuwapokea na mabusu mlangoni mikono ndani ya mifuko yenu kuwapiga sachi haki a mama
mkuu imeniuma sana ukizingatia nilimkuta kwenye mazingira magumu na nimemfikisha hapa alipo!ishu zangu mwenyewe za kuungaunga najibana ili yeye ale halafu anafanya hivi?bora peke yangu
husninyo!!!hawa ndio wavulana wenye umri mkubwa. au sio OLESAIDIMU?
Tatizo tumevamiwa na watoto wakiume, ukiangalia kwa makini unaweza sema kizazi cha wanaume kimekaribia kuisha, wengi waliopo ni watoto wa kiume. Maana kila siku wanalalamika visivyolalamikiwa jamani, inasikitisha au ndo kizazi cha bongo fleva au JKhumu ndani siku hizi kizunguzungu haswaaaa, uanaume umeisha kwa kabisa kwa baadhi ya wanaume.
bro hapo nishafunga nae ukurasa na simwambii,fikiria toka asubuhi sijaweka kitu tumboni!ngoja nichakarikie buku 2 fulani hivi narudiChondechonde usije mfanya mama mtarajiwa utakuja juta, hiyo ilikuwa pati gazeti
kama ni tamu, ilambe!!
mrudishe room umkatishe mauno..
ameiba au amechukua? mwanaume mzima unakuja kulalamika humu eti umeibiwa buku 5! majanga! chumba atafute yeye, kodi alipe mwenyewe, kitanda anunue mwenyewe godoro na mashuka kanunua mwenyewe wewe unapeleka map.........bu yako tu na ka elfu 5 mfukoni! ila sikulaumu sana inawezekana wewe si mwanaume ila ni mtoto wa kiume. elfu tano unaanzisha uzi hapa! nimesikitika sana ungekuwa karibu ningekuzaba kofi
huyo ndo walewale
Pole sana, kachakarike kijana wangubro hapo nishafunga nae ukurasa na simwambii,fikiria toka asubuhi sijaweka kitu tumboni!ngoja nichakarikie buku 2 fulani hivi narudi
peleka ujinga huko