Demu wangu kaniibia buku 5

Demu wangu kaniibia buku 5

yani unaenda kwake na buku tano?
afu hiyo ni ya kuanzia mishe zako asubuhi unachekesha
kuna haja ya kuwapokea na mabusu mlangoni mikono ndani ya mifuko yenu kuwapiga sachi haki a mama

Shemeji kwema lakini???
 
mkuu imeniuma sana ukizingatia nilimkuta kwenye mazingira magumu na nimemfikisha hapa alipo!ishu zangu mwenyewe za kuungaunga najibana ili yeye ale halafu anafanya hivi?bora peke yangu

Mkuu hivi uko serious? Aaaah nilijua unatania, pole mkuu I can see your sadness
 
kamlambe nanihii upunguze machungu..!

Mulugo kachangia sana kumharibu nanihii.!
 
wewe mbona ulilala bila kulipia? Au ungeenda kulala gesti ungelala bure? kaona wewe ni mgumu na dawa ya watu wagumu ndio hivyo
 
humu ndani siku hizi kizunguzungu haswaaaa, uanaume umeisha kwa kabisa kwa baadhi ya wanaume.
Tatizo tumevamiwa na watoto wakiume, ukiangalia kwa makini unaweza sema kizazi cha wanaume kimekaribia kuisha, wengi waliopo ni watoto wa kiume. Maana kila siku wanalalamika visivyolalamikiwa jamani, inasikitisha au ndo kizazi cha bongo fleva au JK
 
Chondechonde usije mfanya mama mtarajiwa utakuja juta, hiyo ilikuwa pati gazeti
bro hapo nishafunga nae ukurasa na simwambii,fikiria toka asubuhi sijaweka kitu tumboni!ngoja nichakarikie buku 2 fulani hivi narudi
 
We ----- tu, buku5 unalialia hapa,wenzako wamepoteza ndege huko malaysia.
 
Mbali ya yote udokozi siyo tabia nzuri kwa msichana/mvulana mwanamke/mwanaume. Lakini kwa jinsia ya kike akiwa mdokozi kwa kweli nashindwa kuelewa, omba upewe ewe mtoto wa kike
 
ameiba au amechukua? mwanaume mzima unakuja kulalamika humu eti umeibiwa buku 5! majanga! chumba atafute yeye, kodi alipe mwenyewe, kitanda anunue mwenyewe godoro na mashuka kanunua mwenyewe wewe unapeleka map.........bu yako tu na ka elfu 5 mfukoni! ila sikulaumu sana inawezekana wewe si mwanaume ila ni mtoto wa kiume. elfu tano unaanzisha uzi hapa! nimesikitika sana ungekuwa karibu ningekuzaba kofi

Suala la kuiba haijalishi ni shiringi ngapi,au wewe unataka iwe shiringi ngapi ili awe ameiba!?hata hivyo kiustaarabu angemuuliza kama amechukua unaweza kukuta kanunua sukari!na kama jombaa alitaka ale bure imekula kwake.
 
Amechukua ni ya mpenziwe kaona issue iko wapi... afterall si buku tano tu... pengine kenda kununulia maziwa na vitafunio akupikie wewe chai! Dah wanaume wengine suruali...!
 
Back
Top Bottom