tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,308
tinna,kumbuka anapoishi na kula nagharamia mimi!!
Sa c kachukua tu hiyo sioni tatizo hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tinna,kumbuka anapoishi na kula nagharamia mimi!!
ameiba au amechukua? mwanaume mzima unakuja kulalamika humu eti umeibiwa buku 5! majanga! chumba atafute yeye, kodi alipe mwenyewe, kitanda anunue mwenyewe godoro na mashuka kanunua mwenyewe wewe unapeleka map.........bu yako tu na ka elfu 5 mfukoni! ila sikulaumu sana inawezekana wewe si mwanaume ila ni mtoto wa kiume. elfu tano unaanzisha uzi hapa! nimesikitika sana ungekuwa karibu ningekuzaba kofi
nyie si mnashinda mnaosha kucha?hamjui zinavyotafutwa!Kasema kuna dili la buku 2 anapiga maana hajala salio lote liliibiwa, halafu anasema eti anamgharimikia kila kitu!
sawa angeniomba,au angechukua aifanyie mambo yake then anitaarifu kama amechukua,lakini amekaa kimya!ndo nini?Sa c kachukua tu hiyo sioni tatizo hapo.
hukujua nilikuwa nina hesabu nayo kivipi,kumhudumia kila kitu haimaaanishi niipuuze buku 5Ha ha ha yani kweli demu umhudumie kila kitu afu aibe buku tano?
afu kama una uwezo wa kumhudumia kila kitu buku tano inaweza kuwa ishu hadi uitolee thread?
mmh kama kuna chai hapa....
ipeleke wewe mkuujamani wakati mwingine muwe mnaficha dhiki na ujinga wenu. sasa wataka huku jamvini watu wafanyeje?
mnajaza server for nothing. kwani usiiweke hii ikawa status fb ili nako wakusaidie?
mumeo kazi anayo!umerudishiwa elf5 kwa taxi, umelala unaitafuta asubuhi, je usiku hamkula? je mlo wa usiku gharama sh ngapi? au unalelewa? je kulala ilikuwa bure?uyo mtu wako ulivoamka alikuambiaje?ukute hapakuwa na sabuni kaona uendelee na usingzi kachukua iyo pesa direct kwa mangi, sabuni ya unga ya kupima 2,500/= , ya kuoga, mswaki na soap dish special kwa mgeni 3,100/= badala ya ulivoamka kumpa deni la sh 100 unakuja kuleta ujinga uku? sijui vijana wa siku izi mnataka ndoa za rangi gani?
Ni aibu kudai iyo ela kwa mtu uliyelala naye wakati hata thamani ya perfume moja haifiki...ni aibu na dharau kwa mabinti zetu! kama hamuwezi kugharamia nyie kadili na wale mashuga mamy!
hongera binti yangu kwa kumliza mkoloni!!!!!!!
sawa mkuuHapa ndio mahakama? Pumb..u ww! Umemt... A ucku mzima ulimwachia ngapi? Njeto {5000} ndo unalalamika du !we kweli k.!
Ha ha ha haya bana baba ya mibajeti..hukujua nilikuwa nina hesabu nayo kivipi,kumhudumia kila kitu haimaaanishi niipuuze buku 5
Aaaah...Hizo mbona kidogo sana, Unamaana hata za lotion hukuwaunampa? Wacha aibu mkuu.Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.
Mkuu pole, inaonekana hata wewe utakuwa na njaa.
Chukua hizi hapa upunguze machungu, usilielie...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwahiyo we ni zaidi yake?Maniner i wish ningekuwa mm nfo huy dem wako ungejuta kunfahamu
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.
yaani bora ningeidondoshawee nae acha ubahili buku tano uje kumdhalilisha nayo mtu jf?? fanya km uliidondosha
yaani bora ningeidondosha
sawa angeniomba,au angechukua aifanyie mambo yake then anitaarifu kama amechukua,lakini amekaa kimya!ndo nini?
sasa nitakuwa na moyo tena wa kuhudumia hapo?Kama unahudumia kila kitu buku 5 sio inshu!!