Anacheza kweli yaani..., yeye akiona vyaelea anadhani ni mitumbwi....., itakula kwake
Kwani hii ulitunga wewe...!? afu oldd vampire anakutafuta, nimempa namba yako ya simu
Rabekaaa Bishanga .Nimekuja ulikuwa unaniita.Unacheza wewe!
Kiongozi wangu Baba V hii habari ni njema sana. kwanza nilikuwa najiuliza imekuwaje mpaka dadangu Dena Amsi akaangukia kwa sharobaro Mr Rocky sikupata jibu. kinachomponza Mr Rocky ni tabia yake ya kuwakwarua wanakwaya wenzake. yaan mwanakwaya ambaye hajarushiwa neno na Mr Rocky nakuambia lazima akaoge na chumvi au aende kwa babu.
Hongera Dena Amsi kwa uamuzi mzuri. Nipo kwenye mchakato wa kumkomboa Mamndenyi kutoka kwenye mikono ya sharo

nmwaah!! nmwaah!!!long live stevoh & Zion Daughter
Kiongozi wangu Baba V hii habari ni njema sana. kwanza nilikuwa najiuliza imekuwaje mpaka dadangu Dena Amsi akaangukia kwa sharobaro Mr Rocky sikupata jibu. kinachomponza Mr Rocky ni tabia yake ya kuwakwarua wanakwaya wenzake. yaan mwanakwaya ambaye hajarushiwa neno na Mr Rocky nakuambia lazima akaoge na chumvi au aende kwa babu.
Hongera Dena Amsi kwa uamuzi mzuri. Nipo kwenye mchakato wa kumkomboa Mamndenyi kutoka kwenye mikono ya sharo
nmwaah!! nmwaah!!!
Haaaanmwaah!! nmwaah!!!
Dah kweli Dena Amsi amekuwa mpira wa kona huku Arushaone huku Erickb52 huku Mungi mara Filipo mara baba v na watu8 yumo na Vin Diesel na wengine nimewasahau
Halafu kumbe wote hawa walikuwa wanaomba kila kukicha ni lini ndoa yangu itavunjika
Kwa taarifa ngoja niende mlingotini Dena Amsi atarudi na atakuwa nyumba ndogo sasa badala ya kuwa nyumba kubwa na Mamndenyi atakuwa maza house
Umeamua kunisingizia, afu mna siku tatu muwe mmefika ofsini kwangu kwa ajili ya kurasmisha hii habari yenu