Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Last edited by a moderator:
Mungi?????????

Kiongozi wangu Baba V hii habari ni njema sana. kwanza nilikuwa najiuliza imekuwaje mpaka dadangu Dena Amsi akaangukia kwa sharobaro Mr Rocky sikupata jibu. kinachomponza Mr Rocky ni tabia yake ya kuwakwarua wanakwaya wenzake. yaan mwanakwaya ambaye hajarushiwa neno na Mr Rocky nakuambia lazima akaoge na chumvi au aende kwa babu.
Hongera Dena Amsi kwa uamuzi mzuri. Nipo kwenye mchakato wa kumkomboa Mamndenyi kutoka kwenye mikono ya sharo
 
Asante sana Mamndenyi atalizwa muda si mrefu
 
najua maombi yako Mungi yametimia
Ila hebu angalia anakoangukia Dena Amsi kwa akina King Mswati Arushaone na Erickb52 na mwenzake Baba V na watu8 hapo kuna usalama wake kweli
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Umeamua kunisingizia, afu mna siku tatu muwe mmefika ofsini kwangu kwa ajili ya kurasmisha hii habari yenu

Hivi Baba V inarasimishwa kwa kuja kufanya ile kitu mbele yako au ni vipi hebu niambie
Sikusingizii naona mlikuwa mnaomba sana ndoa yangu ivunjike
haya huyo Dena Amsi yuko free sasa juu yenu tumuone mshindi ni nani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom