Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Kwa kweli hii movie inanoga. Bora mie ninaye deal na watoto wako.

Hahahah...fuata taratibu tu, lakini wao ndio wenye uamuzi wa mwisho, mimi nipo kando nafaidi vyangu na mke wangu
 
mapenzi kizungu zungu,mapenzi hayana dawa...nimemmiss saida kalori
 
Arushaone Baba V watu8 Bishanga NIMEWAITA najua hii si kawaida yangu. siku ya leo ya tarehe 19/3/2013,
mimi Chimbuvu kwa akili zangu timamu natangaza rasmi kuwa uhusiano wangu na Madame B umeishia hapa siku ya leo .
hii inatokana na kichapo nilichokula jana toka kwa aliyekuwa mke wangu Madame B .KWA KWELI kama ni kuvumilia nimeshindwa maana kila siku napigwa.ndoa imenishinda hata ndala zikiisha huwa zinatupwa,akufukuzae akuambii toka,sa hv uso umevimba nimepewa PF3 ndio natoka kituo cha polisi kwenda hospitali.
 
Last edited by a moderator:

He na wewe yamekukuta pole
 
Habari zenu wadau, leo asubuhi nimepata ujumbe kutoka kwa mdau Dena Amsi akinipa taarifa kuwa ameamua kuachana na Mr Rocky kutokana na tabia za Mr Rocky za kubeba beba wanawake kumchosha. Sehemu ya ujumbe huo ilisema hivi, Nanukuu "Mwenyekiti nimefikia hatua ya kuachana na mume wangu Mr Rocky baada ya kumvumilia kwa muda mrefu nikidhani kuwa angebadilika lakini nimegundua kuwa tabia ni kama ngozi huwezi kuibadili, hivyo nimeamua kujiweka pembeni aendelee na mambo yake kwa uhuru". Mwisho wa kunukuu, Kwa mujibu wa ujumbe huo ni kuwa hadi sasa Dena Amsi amekata kamba kwa Mr Rocky. Juhudi zangu kumtafuta Mr Rocky ili aelezee jambo hili zimegonga mwamba baada ya simu yake kuita muda wote bila majibu na baadae ikapokelewa na Mamndenyi ambaye baada ya kumwambia kuwa nilitaka kuongea na Mr Rocky kuhusu habari yake na Dena Amsi alinijibu kuwa Mr Rocky yuko nje ya nchi kwa mapumziko afu akasonya na kukata simu. Nimeamua kuileta hapa ili Mr Rocky aje alizungumzie hili.

Copy: Arushaone Nicas Mtei, Sefeti Erickb52, Mungi, Filipo et al.
Wasalaam Baba V.

wape pole naona wanazidi kujaza column ya waliotendwa na kutendana
 
Arushaone Baba V watu8 Bishanga NIMEWAITA najua hii si kawaida yangu. siku ya leo ya tarehe 19/3/2013,
mimi Chimbuvu kwa akili zangu timamu natangaza rasmi kuwa uhusiano wangu na Madame B umeishia hapa siku ya leo .
hii inatokana na kichapo nilichokula jana toka kwa aliyekuwa mke wangu Madame B .KWA KWELI kama ni kuvumilia nimeshindwa maana kila siku napigwa.ndoa imenishinda hata ndala zikiisha huwa zinatupwa,akufukuzae akuambii toka,sa hv uso umevimba nimepewa PF3 ndio natoka kituo cha polisi kwenda hospitali.

pole weee
 
[mention=watu8]Hahahah...ngoja niulize kaswa kadogo ka nyongeza ka kiutawala zaidi, Cheti cha ndoa nani aliyewapa?

watu8 nilipewa na makamu mwenyekiti wa kamati ya ndoa na mahusiano ya Chit chat Mamndenyi asante sana kwa kunipenda nakupenda pia sana na achana na akina watu8 na Baba V na akina Erickb52

Hahahahah....yaani nimeshindwa cha kuandika
Baba V hebu angalia swali na jibu halafu uamuzi nakuachia wewe, hii ndoa nadhani sasa inahitaji LOBBING kuinusuru
 
[mention=watu8]Hahahah...ngoja niulize kaswa kadogo ka nyongeza ka kiutawala zaidi, Cheti cha ndoa nani aliyewapa?

Hahahahah....yaani nimeshindwa cha kuandika
Baba V hebu angalia swali na jibu halafu uamuzi nakuachia wewe, hii ndoa nadhani sasa inahitaji LOBBING kuinusuru

watu8 napata mashaka na wewe kama hukuwa kwenye race za kumpata Mamndenyi sasa amekuponyoka naona unaleta maneno miiingi kama treni ya kigoma Mamndenyi humpati tena shakuwa wangu hapa wewe may be hangaika na Dena Amsi au Madame B aliyetemwa na Chimbuvu nahapo ujue Arushaone anamtaka Dena Amsi kwa njia yoyote na Erickb52 na Mungi na Baba V wako kwenye msafara huo huo wa kumpenda Dena Amsi
So kama unauweza mpambano ingia huko watu8
 
Last edited by a moderator:
Arushaone Baba V watu8 Bishanga NIMEWAITA najua hii si kawaida yangu. siku ya leo ya tarehe 19/3/2013,
mimi Chimbuvu kwa akili zangu timamu natangaza rasmi kuwa uhusiano wangu na Madame B umeishia hapa siku ya leo .
hii inatokana na kichapo nilichokula jana toka kwa aliyekuwa mke wangu Madame B .KWA KWELI kama ni kuvumilia nimeshindwa maana kila siku napigwa.ndoa imenishinda hata ndala zikiisha huwa zinatupwa,akufukuzae akuambii toka,sa hv uso umevimba nimepewa PF3 ndio natoka kituo cha polisi kwenda hospitali.

hivi huyu bidada @ Madame B, ni damu za kule kwa Uhuru kenyata! Kuna siku alikuwa anaulizia Gym ya ambayo wanaingia wanawake tu kumbe ilikuwa ni kwa ajili yako! Pole@chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Cha kuokota sio cha kuiba! Mzima weye sweetlady?

Btw I hate you!

Hahahahahah....... Mwenye mali ni mjinga lol...... Haya nambie twende lini kwa mzee wa kanisa tukapatanishwe manake umezidi kunchukia......ntalia ujue oooh
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah....... Mwenye mali ni mjinga lol...... Haya nambie twende lini kwa mzee wa kanisa tukapatanishwe manake umezidi kunchukia......ntalia ujue oooh

Usin'semeshe sweetlady, sitaki kuongea na wewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom