Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kwa kweli hii movie inanoga. Bora mie ninaye deal na watoto wako.
Hahahah...fuata taratibu tu, lakini wao ndio wenye uamuzi wa mwisho, mimi nipo kando nafaidi vyangu na mke wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli hii movie inanoga. Bora mie ninaye deal na watoto wako.
Baba V ingilia kati ndoa yangu,maana hata tendo la ndoa nanyimwa,nikimpapasa wyf napigwa kipepsi,,tunalala mzungu wa nne? Halafu analala na jeans tyt?
usjali mkuu tarehe 15/04 niko ndani ya A town.Mambo mwalimu! Nakungoja tu na sijachoka kukungoja!
Ha ha ha unampa warning sio??
Arushaone Baba V watu8 Bishanga NIMEWAITA najua hii si kawaida yangu. siku ya leo ya tarehe 19/3/2013,
mimi Chimbuvu kwa akili zangu timamu natangaza rasmi kuwa uhusiano wangu na Madame B umeishia hapa siku ya leo .
hii inatokana na kichapo nilichokula jana toka kwa aliyekuwa mke wangu Madame B .KWA KWELI kama ni kuvumilia nimeshindwa maana kila siku napigwa.ndoa imenishinda hata ndala zikiisha huwa zinatupwa,akufukuzae akuambii toka,sa hv uso umevimba nimepewa PF3 ndio natoka kituo cha polisi kwenda hospitali.
Habari zenu wadau, leo asubuhi nimepata ujumbe kutoka kwa mdau Dena Amsi akinipa taarifa kuwa ameamua kuachana na Mr Rocky kutokana na tabia za Mr Rocky za kubeba beba wanawake kumchosha. Sehemu ya ujumbe huo ilisema hivi, Nanukuu "Mwenyekiti nimefikia hatua ya kuachana na mume wangu Mr Rocky baada ya kumvumilia kwa muda mrefu nikidhani kuwa angebadilika lakini nimegundua kuwa tabia ni kama ngozi huwezi kuibadili, hivyo nimeamua kujiweka pembeni aendelee na mambo yake kwa uhuru". Mwisho wa kunukuu, Kwa mujibu wa ujumbe huo ni kuwa hadi sasa Dena Amsi amekata kamba kwa Mr Rocky. Juhudi zangu kumtafuta Mr Rocky ili aelezee jambo hili zimegonga mwamba baada ya simu yake kuita muda wote bila majibu na baadae ikapokelewa na Mamndenyi ambaye baada ya kumwambia kuwa nilitaka kuongea na Mr Rocky kuhusu habari yake na Dena Amsi alinijibu kuwa Mr Rocky yuko nje ya nchi kwa mapumziko afu akasonya na kukata simu. Nimeamua kuileta hapa ili Mr Rocky aje alizungumzie hili.
Copy: Arushaone Nicas Mtei, Sefeti Erickb52, Mungi, Filipo et al.
Wasalaam Baba V.
Arushaone Baba V watu8 Bishanga NIMEWAITA najua hii si kawaida yangu. siku ya leo ya tarehe 19/3/2013,
mimi Chimbuvu kwa akili zangu timamu natangaza rasmi kuwa uhusiano wangu na Madame B umeishia hapa siku ya leo .
hii inatokana na kichapo nilichokula jana toka kwa aliyekuwa mke wangu Madame B .KWA KWELI kama ni kuvumilia nimeshindwa maana kila siku napigwa.ndoa imenishinda hata ndala zikiisha huwa zinatupwa,akufukuzae akuambii toka,sa hv uso umevimba nimepewa PF3 ndio natoka kituo cha polisi kwenda hospitali.
pole weee
[mention=watu8]Hahahah...ngoja niulize kaswa kadogo ka nyongeza ka kiutawala zaidi, Cheti cha ndoa nani aliyewapa?
Hahahahah....yaani nimeshindwa cha kuandika
Baba V hebu angalia swali na jibu halafu uamuzi nakuachia wewe, hii ndoa nadhani sasa inahitaji LOBBING kuinusuru