Dena Amsi na Mr Rocky

Baba V naomba uje kipande hii utangaze ndoa yangu....ole wako unifanyie mtima nyongo....

After what you and Mr Rocky have done to Mamndenyi...!??? no way..!! over my dead body, sikubali kutangaza ndoa inayokuhusu wewe tena unless ume prove beyond doubt kwamba umebadilika, what I see ni muendelezo wa mchezo wenu na Mr Rocky katika mchezo wenu wa kuwachezea wanawake kwa kupokezana kijiti kwa mtindo wa "HIT and RUN" kama mlivyofanya kwa Mamndenyi, I'm not ready to be a part of your dirty game kwa kuhalalisha habari yenu, najua lengo lenu na ndo maana Mr Rocky anapiga debe sana kwani anajua ukipiga wewe itafuata zamu yake, as for you Lady doctor kwa kuwa mapenzi ni upofu GO AT YOUR OWN RISK, you'll be solely responsible for whatever mess therein.. I keep my hands off.
Copy: watu8 , gfsonwin, Mamndenyi, Slave ..
 
Last edited by a moderator:
Baba V naomba utambue kuwa Mr Rocky ni ndugu yangu damu damu na tuna share vitu vingi ila kwenye wake hapana.....naomba usinibanie furaha yangu ya kuwa na my Lady doctor tasavali.......
 
Last edited by a moderator:
Baba V,naomba utangaze ndoa yangu na Lady doctor tafadhali.....

Soma msimamo wangu hapo juu, afu jana nimekuita uje utoe kauli juu ya hawa wanawake uliowazalisha na kuwatelekeza, maadam umerejea uje ubebe mzigo wako, ofisi ya mwenyekiti imeelemewa..
 
Last edited by a moderator:

with due diligence i concur with your statement your honor.
 
Baba V naomba utambue kuwa Mr Rocky ni ndugu yangu damu damu na tuna share vitu vingi ila kwenye wake hapana.....naomba usinibanie furaha yangu ya kuwa na my Lady doctor tasavali.......

Natambua ninyi ni ndugu damu damu na nyama nyama na kweli mnashea mengi, nakumbuka mlivyoshea Mamndenyi afu mkam dump, leo hii amebaki hajielewielewi maskini, siko tayari kuona member wangu mwingine anafanyiwa hivyo tena nikiwa nimebariki mimi.. no way.. labda uweze kunithibitishia kuwa umebadilika..
 
Last edited by a moderator:
Soma msimamo wangu hapo juu, afu jana nimekuita uje utoe kauli juu ya hawa wanawake uliowazalisha na kuwatelekeza, maadam umerejea uje ubebe mzigo wako, ofisi ya mwenyekiti imeelemewa..

Msimamo wako unaonesha kila dalili za kunionea mwana wa Adamu....ili tuende sawa naomba unitajie kila mwanamke na watoto niliomuachia.vinginevyo utakuwa unanifanyia fitna bin mafkuri shaitwani.
 
Baba V naomba utambue kuwa Mr Rocky ni ndugu yangu damu damu na tuna share vitu vingi ila kwenye wake hapana.....naomba usinibanie furaha yangu ya kuwa na my Lady doctor tasavali.......

Unaona Baba V anacyotudhalilisha aise
Sasa nitatangaza kuyaunga mkono mapinduzi ya kumuondoa madarakani maana nimemuheshimu ila anageuka kuwa adui kwa kutuzushia kashfa
Baba V mimi na Vin Diesel hatuna tabia hiyo na kwa taarifa waone akina Arushaone king mswati na ETIckb52 wenye wake na nyumba ndogo kama utitiri na sio sisi vijana waadilifu kabisa tusio na doa haya maneno yako naomba uyafute kabisa
Copy mwalimu gfsonwin na Lady doctor
 
Last edited by a moderator:

Naomba niweke kumbukumbu sawa....sina tabia hiyo tena,nimebadilika mwenyekiti kibri.
 
my sweet brodda.......
mie ni kibaraka tu kwa mwenykiti wetu ila ukweli umezidi kama mdudu toboatoboa..........hahahah!

Najua yote haya ni kutokana na mie kutokufika kwako....hujanisamehe tu?
 
Kuna uhuru wa kuingia kwenye ndoa na kutoka na by the way Mamndenyi hakuwa na ndoa halali alikuwa anaiba sasa kama mwenye mali ameamua turudiane kuna ubaya.
Uenyekiti wako ni kuhakikisha ndoa inaduumu na iliyokuwepo kwangu ni yangu na Dena Amsi sasa kama tumerudiana kwa nini usifurahie unakasirika
Tuhumu nyingine prove beyond doubt kabla hujaanza kushusha lawama Baba V
 
Last edited by a moderator:
Msimamo wako unaonesha kila dalili za kunionea mwana wa Adamu....ili tuende sawa naomba unitajie kila mwanamke na watoto niliomuachia.vinginevyo utakuwa unanifanyia fitna bin mafkuri shaitwani.

Ili kuweka kumbukumbu sahihi unaweza kutueleza ni lini ulimwacha Mamndenyi na kwa utaratibu upi na baada ya hapo ukapotelea wapi kabla ya kurejea juzi baada ya Mr Rocky kumtosa Mamndenyi..!? tuanzie hapo..
 
Last edited by a moderator:

dah! kwanza niambie ilikuwwaje ukamuacha mandeny??
 
Last edited by a moderator:
with due diligence i concur with your statement your honor.

Mpaka ndugu yangu na dada yangu mwalimu gfsonwin unanikana leo na kuungana na mwenyekiti mwenye personal interest Baba V ambaye unaona anavyotudhalilisha mimi na kaka yangu Vin Diesel
Kweli nimekosa wa kunitetea humu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…