Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
ongea taratibu, ila nimependa ulivonisaidia kusema.....
afu wewe, we haya!!!!!
hahahahahahaha..nimegundua FURSA za cc ni kutongozana..
hahahahahaha..umemuona wapi?..nani kakuambia yule ni nanii yanguu?Wewe tu umebaki, wewe tu kukuletea habari!
Halafu nimemuona shemeji leo..hope amekufikishia salamu yangu!!!!
haswaaaaaaaaaaaaaa........bila shaka hii ni copy maalum tu hauna maana mbaya!!!!
umeziona eeh....yaani unalala ukiamka unaoa au umeolewa.....hahahahahaa..kweli cchizi ndoa za CC hizi!
Swaiba !
Mr Rocky sio kama umekurupuka? Nway kichwa ya mtu serikali ya mtu!
Btw si ungetutaka ushauri swaiba zako bifoo hujavunja privias kopo?
Au umekua "advicesable proof ?"
ongea taratibu, ila nimependa ulivonisaidia kusema.....
afu wewe, we haya!!!!!
nisisitizie na kwa Slave mwambie nampenda.....
Evelyn Salt hebu niambie kwa wino mweusi usiioonekana na ambao Slave hataona nia yako ni nini
sawa! Zimefika.... Tena ngoja nimwambie sasahivi..!!!
Slave Evelyn salt amesema ''HAKUPENDI, USIMFATEFATE, ANATARAJIA KUOLEWA SO KAAMBALI NAYE KWA USALAMA WAKO!!!!!!!!''
unamtaka Kipaji Halisi?
unamlipizia Slave?kwa hiyo
Lady doctor ajisevie!!
Wewe tu umebaki, wewe tu kukuletea habari!
Halafu nimemuona shemeji leo..hope amekufikishia salamu yangu!!!!
unamtaka Kipaji Halisi?
unamlipizia Slave?kwa hiyo
Lady doctor ajisevie!!
hahahahahahaha...mie tena jamani...lol
nashindwa kuelewa haya maneno yanatoka wapi.....
I love u Slave!!!!!!
tangaza ndoa na Evelyn salt nitagharamikia kila kitu
nikonaye hapa, kaniambia nikuambie hakupendi hata kidogo... Usijisumbue na ma i love u yako
hahahahahahahaa..yale yale...sihitaji ndoa plz...
Mkuu HorsePower uzalendo ulinishinda nikatafuta nyumba ndogo Mamndenyi kwa ajili ya kupitisha siku ila hata yeye Mamndenyi alijijua tuu kuwa anaiba na kama ni uhusiano uko ICU unasubiri kuondoka siku yoyote