Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Kipaji Halisi sio wote bana kuna wengine wako single kama nanihio hapo juu
Copy Evelyn Salt
hahahahahahaha..nimegundua FURSA za cc ni kutongozana..
Wewe tu umebaki, wewe tu kukuletea habari!

Halafu nimemuona shemeji leo..hope amekufikishia salamu yangu!!!!
hahahahahaha..umemuona wapi?..nani kakuambia yule ni nanii yanguu?
........bila shaka hii ni copy maalum tu hauna maana mbaya!!!!
haswaaaaaaaaaaaaaa
hizi ndoa za CC hizi!
umeziona eeh....yaani unalala ukiamka unaoa au umeolewa.....hahahahahaa..kweli cc
 
Swaiba !
Mr Rocky sio kama umekurupuka? Nway kichwa ya mtu serikali ya mtu!
Btw si ungetutaka ushauri swaiba zako bifoo hujavunja privias kopo?
Au umekua "advicesable proof ?"

amekurupuka vibaya we muache
shem upo,nilikumithi kweli!!
 
nisisitizie na kwa Slave mwambie nampenda.....

sawa! Zimefika.... Tena ngoja nimwambie sasahivi..!!!

Slave Evelyn salt amesema ''HAKUPENDI, USIMFATEFATE, ANATARAJIA KUOLEWA SO KAAMBALI NAYE KWA USALAMA WAKO!!!!!!!!''
 
Last edited by a moderator:
Wewe tu umebaki, wewe tu kukuletea habari!

Halafu nimemuona shemeji leo..hope amekufikishia salamu yangu!!!!

nimekumisije sasa!
btw there is no next ibada for me, not anymore!
nimesilimu as of last friday!!!
 
oooooooooooooh myyyyyyyyyyyyyyy gooooooooooooooooood!!!
binamu Mr Rocky waaaaaaaaaaat hav you done?!?!!?!??!?!?!?!?!?

mpenzi sosoliso com zis way please unipepee presha imepanda

Unajua babe Paloma ninachoshangaa bado sijamuona huyo bi harusi Dena Amsi hadharani kuja kuthibitisha kama kweli kuna ndoa hapa.. Vinginevyo nina shaka Mr Rocky anamvizia Dena Amsi ili amtafure (kwa wachagga najua mnafahamu maana ya neno kutafura).. Ndoa za nguvu.. ha ha ha..
 
Last edited by a moderator:
nikonaye hapa, kaniambia nikuambie hakupendi hata kidogo... Usijisumbue na ma i love u yako

At malaika beach resort...... Slave and Evelyn Salt

images
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom