Dena Amsi na Mr Rocky



Sio kweli bana ninathibitisha kuwa ndoa imefufuka rasmi kuna lingine wahitaji nikufafanulie?
 
Bwana shem naona umekaa kimya kama vile hujui alichonitenda Asnam nikiwa jela, kama ameweza kuutendea hivi mti mbichi itakuaje kwa mti mkavu....!????

afadhali umejileta pole na maswahibu ya lupango,hope talaka yako umeisaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…