- Thread starter
- #381
Nakuja tar 23 mwezi huu mkuu....nitathibitisha ujio wangu 2 days before....lazima nikutafute kaka...
Karibu sana sana mkuu
Ukuje bana tuje tukule ndyofu sa moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja tar 23 mwezi huu mkuu....nitathibitisha ujio wangu 2 days before....lazima nikutafute kaka...
Mkuu Vin Diesel mi sijakugombanisha bana maana naona alitok kwako akaja kwangu sas hivi Slave na Katavi wanapambana hapa nani ampate
Wewe m-baba shkamoo! Leo ndo umeamini kuwa ushazeeka eeh? Waulize kina Lily Flower, Arabela Mwalimu na KOKUTONA wakwambie ulivyozeeka!!!
Kimenuka mi thipo walahi Slave kuya pandee hii
mfikishie taarifa mwenzio mambo ya kufungamana na nchi nyingine mi staki kabisaaa!!!!!
Lady doctor nishamwambia aache kuwa macho juu ashampoteza Evelyn Salt sasa na wewe atakupoteza aisee
sasa na mimi amenipoteza mwache aende kwa wazee wenzake
Mpe second chance Slave anaweza badilika Lady doctor
Ila ushamwona Vin Diesel anaulizia habari zako tumwambie
ngoja aje mwenyewe wala usimuombee msamaha.
Who is vin diesel?
Mamaaaa....! Pedeshee Bishanga naye anamtaka..! Itabidi niende kwa mwene Kapufi pale itwelele ili kujifua zaidi niweze kupambana na hawa mapedeshee wa hapa chitchat.
Vin Diesel safari hii nabeba Mamndenyi nitampendesha mpaka udenda uwatoke tena
Mkuu wakati naondoka sikuaga....sasa kuna raia wakijua nipo hapa moto utaniwakia.....lile jukwaa la chini najua mod wake ni Evelyn Salt....
Sikutaki tena Slave!
Nakuja tar 23 mwezi huu mkuu....nitathibitisha ujio wangu 2 days before....lazima nikutafute kaka...