Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Arushaone acha kabisa kumsema kaka yangu
Sio domo zege bana anajua sana mitongozo yote hapa si unajua katoka buzwagi sasa hata kiswahili chake kimeharibika ndo maana
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ngoja aje hapa ajieleze mwenyewe bana wacha kumsemea
Lady doctor hebu njoo hapa useme unampenda nani Arushaone au Vin Diesel

Lady doctor keshalala bhana acha kumsumbua! Alikuwa shift ya usiku last night!
 
Last edited by a moderator:
Nakushangaaa na wewe mpaka muda huu kichwa cha chini hakiendi kufanya kazi uko mtandaoni humu unafanya nini Arushaone
Au unalazwa mzungu wa nne
 
Last edited by a moderator:
Nakushangaaa na wewe mpaka muda huu kichwa cha chini hakiendi kufanya kazi uko mtandaoni humu unafanya nini Arushaone
Au unalazwa mzungu wa nne

Nimekuwa Sangarara aliyekuwa anaongea nawe then akalewa down-head?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha na wewe nakuona zishahamia down huko maana mpaka muda huu hujalala naona unapanbana na ndyofu tuu
 
Hahahahaha na wewe nakuona zishahamia down huko maana mpaka muda huu hujalala naona unapanbana na ndyofu tuu

Siku hizi nimeacha kabisa mapombe aina zote. Huwa natumia tu KAINANA PREMIUM LAGER mkuu. Na leo sijaonja!!
 
Ngoja aje hapa ajieleze mwenyewe bana wacha kumsemea
Lady doctor hebu njoo hapa useme unampenda nani Arushaone au Vin Diesel

sina historia ya kupenda but atakaye tangulia kutangaza ndoa ndiye nitakaye mpenda ila vigezo na masharti vizingatiwe

copy kwa Chimbuvu Arushaone Slave Vin Diesel King kan Manoah na wengine wanajijua
 
Last edited by a moderator:
sina historia ya kupenda but atakaye tangulia kutangaza ndoa ndiye nitakaye mpenda ila vigezo na masharti vizingatiwe

copy kwa Chimbuvu Arushaone Slave Vin Diesel King kan Manoah na wengine wanajijua

Mie natangaza ndoa na naomba ridhaa yako taarifa zimfikie mwenyekiti....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom