Deni la Serikali hadi Januari 2023 ni Trilioni 76

Deni la Serikali hadi Januari 2023 ni Trilioni 76

Kwa kuwa utaalamu wa hii kitu upo ndani ya nchi wangetumika wataalamu wetu na makampuni yetu.
Kwani Barabara tunazowapa wachina hakuna utaalamu ndani ya Nchi?

Kinachoamua ni gharama za ujenzi,utaalamu unaweza upata popote Duniani.
 
Kwani Barabara tunazowapa wachina hakuna utaalamu ndani ya Nchi?

Kinachoamua ni gharama za ujenzi,utaalamu unaweza upata popote Duniani.
Unaamini kwamba gharama za ndani zilikuwa kubwa kwa ukarabati?, je tenda wakati inatangazwa ulishuhudia hilo?
 
Unaamini kwamba gharama za ndani zilikuwa kubwa kwa ukarabati?, je tenda wakati inatangazwa ulishuhudia hilo?
Mimi nishuhudie au ndio taarifa iliyotolewa na Temesa? Kama angetender less Kwa nini asishinde? Miradi haigawiwi Bali inashindanishwa kupata value for money..

Nimekupa na mfano kwamba tuna kampuni nyingi za class 1 za ukandarasi kama Caspian wanaojenga Barabara ya njia 8 ila kazi nyingi anapata machina Kwa nini hupigi makelele?
 
I
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
MASKINI atoe wapi uwezo wa kulipa madeni?

Tuambiwe mnabadilishana nn Kwa kukopeshwa?

Ndugai alisema NCHI itauzwa, Pana UKWELI wowote?
Kasome SoMo la Public Finance na Financial Economics Utajua Nchi inafanyaje Kwa kesi ya Madeni.
 
Deni limeongezeka kwa Tril 4 ndani ya miezi 4

Deni halijumuishi Tril 1.3 ambayo tumekopa Mwezi uliopita kutoka WB

Deni hili ni la Serikali tu, tukijumlisha na lile la Sekta Binafsi linafika Tril 98

Maelezo zaidi

View attachment 2534658
Kwani deni la watu binafsi inalipa serikali? Huu uhuni tu. Wanataka sasa wakakope wahuni hawa kisha serikali ndio idaiwe. Mbona huko zamani awamu zote hatukuwahi kusikia deni la taifa kujumuisha madeni ya watu binafsi?
 
Kwaiyo Maskini ANAKOPESHEKA?

Au sisi ni MATAJIRI tunaoaminishwa kuwa tu MASKINI?
Tuna kila kitu ambacho tungepaswa kuwa matajiri lakini mpaka sasa tunaitwa masikini kwa sababu hatujui au hatujaamua kuzitumia rasilmamali zetu ipasavyo na wanaotukopesha wanajuaukweli huo ndio maana hawana wasiwasi na sisi maana wanajua kama ni Bond tu zipo za kumwaga!! Pesa yao wataipata bila shida !!
 
Back
Top Bottom