Deni la Serikali hadi Januari 2023 ni Trilioni 76

Deni la Serikali hadi Januari 2023 ni Trilioni 76

Eee Mwenye Enzi Mungu muweza wa yote nina kuomba huruma yako iangaze nchi yangu Tanzania [emoji1241]
Uka waunguze watu wote wanao iujumu nchi yangu na kuendekeza matumbo yao na familia zao!
Nakuomba uwatume wale malaika wako wakuu wawili waje kuwa angamiza hiyo mijitu mpaka kizazi chao cha nne walahi nakuomba[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kama walivyo fanya Sodoma na Ghomora ninakuamini Mola wangu uta tenda. Aamina![emoji2972]
 
Ni swala la muda tu kabla hatujalia.

Mshangao mkubwa ni kuwa Zanzibar nai hupata mgao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinachoniachaa hoi ma lijari wanaenda kukopa na wanadaiwa na mashoga, afu hapo hapo hawautaki Ushogaaa.

Nasemajeeee soon mtafurahishwaaaaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinachoniachaa hoi ma lijari wanaenda kukopa na wanadaiwa na mashoga, afu hapo hapo hawautaki Ushogaaa.

Nasemajeeee soon mtafurahishwaaaaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mikopo haina hizo terms
 
Deni limeongezeka kwa Tril 4 ndani ya miezi 4

Deni halijumuishi Tril 1.3 ambayo tumekopa Mwezi uliopita kutoka WB

Deni hili ni la Serikali tu, tukijumlisha na lile la Sekta Binafsi linafika Tril 98

Maelezo zaidi

View attachment 2534658
Tuambie na wewe deni lako. Deni liko ndani ya uwezo wa nchi kulipa, kipi cha ajabu. Kuna nchi isiyokopa.
 
Kila Mtanzaniaa anadaiwa 1.2M ila kiuchumi bado deni ni himilivu pato ghafi la kila Mtanzaniaa ni 2.3M ukitoa hyo 1.2M ya deni unabakiwa na 1.1M ndio maana Mwigulu anajitapa kila siku nchi inakopeshekaa
 

Attachments

  • Screenshot_20230302-211041_Calculator.jpg
    Screenshot_20230302-211041_Calculator.jpg
    62.7 KB · Views: 2
Mahitaji yameongezeka

Serikali imejiingiza katika yasiyo wahusu mf kusomesha watoto

Serikali imeamua kujenga shule, vituo vya afya, zahanati, hospital, barabara, mabwawa, mbolea etc.

Kodi yetu haiwezi kabisa.
Makusanyo yetu ni Tril 28
Bajeti yetu ni Tril 41
Mwaka huu itafika Tril 45
Umeongea points sanaa ila watu hawaoni kazi kulaumuu tuu. Chukulia mfano kwako tuu kuendesha familia sometimes unatingwa inabidi uende kukopa kwa jamaa ako. Miradi ni mingi sanaa kwa wakati mmoja na pressure ya kuimaliza ni kubwa sanaa hasa kutoka kwa wananchi wanahoji sanaa kuhusu miradi yao Mfano SGR, Bwawa la umeme, roads and Bridges n.k
 
Back
Top Bottom