Deni la Serikali hadi Januari 2023 ni Trilioni 76

Kwa kuwa hakuna atakayegongewa mlango alipe deni hilo..serikali iendelee kukopa tu ..hata tukiuzwa kulipia deni hakuna shida
 
Kwa rate hii, tutakuwa tushapiga mnada Serengeti yote, lile dege kubwa litaenda Kilimanjaro kila mwezi
Naona ni kama wanakopa sana kufanikisha 2025 wapate cha kuongelea, maana wakait huo miradi yote mikubwa itakuwa imekamilika
 
Kwani deni la watu binafsi inalipa serikali? Huu uhuni tu. Wanataka sasa wakakope wahuni hawa kisha serikali ndio idaiwe. Mbona huko zamani awamu zote hatukuwahi kusikia deni la taifa kujumuisha madeni ya watu binafsi?
National Debt vs Gov Debt
 
Kwani deni la watu binafsi inalipa serikali? Huu uhuni tu. Wanataka sasa wakakope wahuni hawa kisha serikali ndio idaiwe. Mbona huko zamani awamu zote hatukuwahi kusikia deni la taifa kujumuisha madeni ya watu binafsi?
Hakuna kitu unajua wewe mbumbumbu wa uchumi, tofauti deni la serikali na deni la Nchi.
 
Kwa sababu akili za Watanzania bado ni ndogo, subiri deni lifike hadi T. 200 ndo akili itakaa sawa.
 
Deni limeongezeka kwa Tril 4 ndani ya miezi 4

Deni halijumuishi Tril 1.3 ambayo tumekopa Mwezi uliopita kutoka WB

Deni hili ni la Serikali tu, tukijumlisha na lile la Sekta Binafsi linafika Tril 98

Maelezo zaidi

View attachment 2534658
inaonekana serikali inaaminika sana kwenye kukopa.

Wangetukopea tu huko na sisi wananchi kwa niaba mm nashida na viela vichache tu..
 
Je hii reli itakuja tulipa kweli?
Reli yote ya Sgr ni gunia la misumari.
75% ya mzigo wote wa Dar port unaenda Kusini yaani za SADC.
Huo ni mradi wa Kisiasa wa Jiwe a k a tembo mweupe.
 
Angalia ripoti ya CAG uone jinsi mikopo ya Covid ilivyopigwa na wajanja. Halafu mnajidai eti tunakopesheka TUAMKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…