Lifike 100.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni swala la muda tu kabla hatujalia.
Mshangao mkubwa ni kuwa Zanzibar nai hupata mgao
Acha nichekeee tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usicheke tutakosa hata kondom za bure
Mikopo haina hizo termsKinachoniachaa hoi ma lijari wanaenda kukopa na wanadaiwa na mashoga, afu hapo hapo hawautaki Ushogaaa.
Nasemajeeee soon mtafurahishwaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazir wa fedha anasema hakuna mwananchi ambaye atagongewa hodi mlangoni kulipa deni hiloDeni ni la Wananchi maana linalipwa kwa kodi za Wananchi...
Hizi PhD sijui ni za nini mbona bado wa kawaida mno au walienda shule kukua tuu..Wazir wa fedha anasema hakuna mwananchi ambaye atagongewa hodi mlangoni kulipa deni hilo
Tuambie na wewe deni lako. Deni liko ndani ya uwezo wa nchi kulipa, kipi cha ajabu. Kuna nchi isiyokopa.Deni limeongezeka kwa Tril 4 ndani ya miezi 4
Deni halijumuishi Tril 1.3 ambayo tumekopa Mwezi uliopita kutoka WB
Deni hili ni la Serikali tu, tukijumlisha na lile la Sekta Binafsi linafika Tril 98
Maelezo zaidi
View attachment 2534658
Umeongea points sanaa ila watu hawaoni kazi kulaumuu tuu. Chukulia mfano kwako tuu kuendesha familia sometimes unatingwa inabidi uende kukopa kwa jamaa ako. Miradi ni mingi sanaa kwa wakati mmoja na pressure ya kuimaliza ni kubwa sanaa hasa kutoka kwa wananchi wanahoji sanaa kuhusu miradi yao Mfano SGR, Bwawa la umeme, roads and Bridges n.kMahitaji yameongezeka
Serikali imejiingiza katika yasiyo wahusu mf kusomesha watoto
Serikali imeamua kujenga shule, vituo vya afya, zahanati, hospital, barabara, mabwawa, mbolea etc.
Kodi yetu haiwezi kabisa.
Makusanyo yetu ni Tril 28
Bajeti yetu ni Tril 41
Mwaka huu itafika Tril 45
Na bado tunakopesheka. Vigezo tunavyo hivyo kazi hiyo inaendeleaDeni ni himilivu msiwe na wasi wasi.🤣🤣