DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

Risk assessment ya deni la taifa alifanwyi kwa kuangalia GDP ratio only.

Madeni ni accumulated ukianza kuyapangua mengine yametoka Bank zenye riba kubwa, mengine kama hayans riba tu yametolewa na mataifa, etc with their conditions.

Risk assessment inaangalia vitu vingi kama interest rate na risks za madeni (Macaulay Duration) kutokana maturity ya mikopo yote. Debt to Foreign reserves, Import to foreign reserves na mambo kadha wa kadha ya inflow and outflow of capital serikarini.
 

Ndugu uwe unashtuka na kutumia akili kidogo unapokutana na hali kama hii. Unakubali kuwa Tanzania ina unafuu kuliko USA au Japan? Kweli!

Unafahamu USA inadai nchi ngapi duniani hapa ukilinganishwa na wanachodaiwa? Kwani wewe hujawahi kujifunza kuwa ukiwa na hasi kidogo jumlisha na chanya nyingi = Chanya?
Kwani tanzania tunadai nchi ipi?

Ahaa! ngoja niache
 
Kipimo cha madeni ya mataifa ni hiyo GDP ratio ndiyo inayotumika siku zote; interest za kila deni huwa hazitolewe wazi kwani nyingine huwa ni siri baina ya mkopaji na mkopeshaji.
 
Tunakaribia kwenye sifa ya kutokopesheka na hapo ndiyo tutaimba wimbo mmoja
 

Usiwe negative sana ndugu yangu na usidhani kuwa huko ndiko kuwa na akili. fahamu kuwa hizo data sikuzicompile mimi. Madeni ya Tanzania ni yale ya sisi kwenda kuomba nchi itukopeshe wakati madeni ya Marekani na Japan ni kwa wakopeshaji kwenda kununua bonds za serikali wakitegemea interest, yaani badala ya watu kuweka pesa zao benki wanaipatia serikali wakitegemea kupata faida. Leo hii deni la marekani wakati ninaandika, post hii deni la marekani ni $22,022,691,412,700

Sisi tunatembeza bakuli, wakati wao hawatembezi bakuli lakini wana madeni sana
 
Hii miradi ni ya infrastructure ni ya lazima na hapo Magu anatakiwa apongezwe.
Reli ilikuwa na ulazima gani?

Tanzania ambayo hata viwanda vya nguo vilivyopo ni kichekesho

Barabara za lami zilitosha kabisa kuhudumia viwanda

Reli ilikuwepo tangia mjerumani anatawala nchi hii, iletwe assessment impact/mchango wa reli Ktk kupanuka kwa sekta viwanda

Leo hii miaka 50 baada ya Uhuru barabara bado ni kero kubwa maeneo ya interior za wilaya ni vumbi mtupu, miji yetu nayo imejaa barabara za vumbi

Angekopa hizo trillion 16 akajenga hata Magereza ili kupunguza misongamano Magerezani ningemuelewa
 
Kipimo cha madeni ya mataifa ni hiyo GDP ratio ndiyo inayotumika siku zote; interest za kila deni huwa hazitolewe wazi kwani nyingine huwa ni siri baina ya mkopaji na mkopeshaji.
Pitia hizo documents uone utaratibu unaotumiwa na WB jinsi DeMPA inavyofanywa




Ndani ya Grey Book GDP sio kitu kikubwa kinachoangaliwa sana there are so many other factors.
 
Mabeberu hawaitakii mema serikali ya viwanda ,aah serikali ya makanikia ,uchumi kaukuta unajua kwa asilimia 7% .Yeye kupandisha sasa unajua kwa asilimia 4% yaani umeupandisha kweli uchumi ,we are on the right truck tutembee vifua mbele .
 
Mamaaaaa,twafwa,linakwenda wapi mbona mishahara kwa wafanya"biashara"apandishi?
 
Marekani wao wanauza Bonds
Sisi twakopa kopa tujuavyo
 
Table zake kwa nchi zote duniani ziko wapi. Mimi ninajua pa kupata GDP ratio, na most likely credit rating ambazo hutofautiana kutoka agency moja hadi nyingini. Credit rating agencies popular ni Moody's, S&P, Fitch na DBRS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…