DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

Ina maana tunakopa ili tununue ndege kwa cash? acheni masihara
 
Hatubabaishwi na mabeberu
 
Tunaangalia tu wataalamu wanatuonya. Siku tukiambiwa hatukopesheki tusishangae
Achana na watalaam wa kibebwru.....tuna wataalam wazalendo. Kwani wataalaam wetu wanasemaje?
 
Magu anazidi kushusha na kutumalizia utajiri wetu sisi raia wanyonge. Aint fair at all.
 
WIVU mtupu, mandege hawayaoni.??? Chapa kazi rais wetu usiwasikilize mabeberu hao.
 
Hata majumbani kwetu tunakopa na tunadaiwa
deni linaloogopesha ni lile ambalo fedha umekula
na kunywea pombe,lakini lile ambalo umefanyia vitega uchumi
halikutishi maana vitalipa deni.Kwa miradi inayofanyika acha deni liongezeke
maana lilikuwepo hata bila miradi ya maana,kuongezeka si shida litalipika tu.
 
Watanzania huwa mnatusema sana kuhusu madeni, nyie mnajisifia kufanya kila kitu kwa pesa zenu za ndani, sasa inakuaje Benki kuu inawasema na kuwatahadharisha.
Bora sisi tuna mikopo lakini tupo kwenye uchumi wa kati, lakini ujilimbikize mikopo na bado unatajwa kwenye mataifa maskini, ni hatari sana..
-------------------------

Licha ya Serikali kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo inayotarajia kuboresha masisha ya wananchi, Benki ya Dunia imetahadharisha kuhusu ukopaji unaofanywa na Serikali.
 
Haya twendeni tu huko shimoni. Aliyataka kinana, nape na makamba na goli lao la mkono.
 
Benki ya dunia ni waongo!! Sisi tunatumia fedha zetu za ndani kuendesha miradi yetu!!
 
Milioni 13 masikini wa kutupwa..hawa ndio wale milioni 8 waliopigia kura CCM...ndio maana serikali haifanyi jitihada za kufuta umasikini..
 
Hizo KELELE za wapiga dili mabeberu mirija imebanwa ndo maana kelele zimekua nyingi "walisikika buku 7 wa lumumba wakiongozwa na kichaa musiba
 
Je linahimilika? Tuambie wanachodai Marekani pia
 
Je linahimilika? Tuambie wanachodai Marekani pia
Kwa taarifa yako, serikali ya Marekani haikopeshi nchi yoyote duniani; hutoa misaada tu. Kupata hela ya mkopo kutoka Marekani ziombe IMF na World Bank.

Kuhusu deni lao hiyo ni juu yao, wanaweza kulipunguza sana kwa kupunguza thamani za bonds zao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…