DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

Kuna baadhi ya nchi hazikopesheki au vipi maana DRC Congo licha ya kuwa na mali nyingi na ufichu wa miundombinu ya usafiri lakini wamekopa kiduchu sana,sasa hawa wataendeleaje
 
Hapa siku za awali ambapo Rais John Pombe Joseph Magufuli alipotembelea benki kuu na kuulizia kuhusu deni la taifa
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa taarifa yako, serikali ya Marekani haikopeshi nchi yoyote duniani; hutoa misaada tu. Kupata hela ya mkopo kutoka Marekani ziombe IMF na World Bank.

Kuhusu deni lao hiyo ni juu yao, wanaweza kulipunguza sana kwa kupunguza thamani za bonds zao tu.

Kwa hiyo wewe hujui kuwa mtaji wote wa WB na IMF ni fedha zilizotolewa na Serikali ya Marekani na zinasimamiwa na Serikali hiyo?
 
Hii miradi ni ya infrastructure ni ya lazima na hapo Magu anatakiwa apongezwe.
Utampongeza wewe hakuna ulazima wowote wa kujenga sgr dreamliner na hata stiglaz kwa sasa
Why bcoz hakuna mzigo wowote kanda hiyo Wala growth rate ya cargo sio kubwa kuhitaji sgr
Pili ukuaji wa sekta ya umeme yaani consumption rate ya umeme sio kubwa kiasi kuhitaji megawati 2100 za trions of money,ushahidi ni Kenya yenye uchumi mkubwa twice ours na connectivity kubwa tena ya viwanda lakini consumption iko chini ya megawati 2000 likewise Ethiopia so stiglaz ya nn wakati huu tu uliopo una surplus.Kwa nini tusiwe tunawekeza mid sized Hydro zilizoko Njombe? Ili baadae sana uchumi ulivuka gdp ya 100 USD ndio tufikirie kuwekeza huko?
Tatu sikuona sababu za msingi kufufua shirika la atcl kwa cash money na kwa haraka ikizingatiwa kwamba watu wa Tzn ni maskini hakuna wapanda ndege tungesubiri tufikie uchumi wa kati ndio tufanye hayo hata hasara na kutoa ruzuku kwa hayo mashirika ingekuwa kidogo kuliko sasa
Mwisho hayo mapesa yangewekezwa kuimarisha barabara kila kona ya nchi na kuifungua plus biashara, viwanda,kilimo,utalii,uvuvi,ufugaji,strategic airports na bandari yangeleta tija zaidi kwenye uchumi kuliko ambavyo yamevuruga uchumi na yatakuwa white elephants kwa miaka mingi ijayo coz lazima pesa zitafutwe upya kuwezesha hizo sekta ili hiyo miradi iweze kuwa na tija.Imagine mtu anajenga daraja la bln 700 la show off tutafika kweli?
 
Licha ya kupungua kwa utajiri wa kila mwananchi, idadi ya masikini imeongezeka pia kutoka milioni 12.3 waliokuwepo mwaka 2012 hadi milioni 13.3 mwaka 2016. Ndani ya miaka minne, masikini milioni moja wameongezeka.
Kaaaazi kweli kweli ..najaribu kuproject tu..ndani ya miaka 10 ijayo maskini millioni 2.5 watakuwa wameongezeka...na hawa ni wale watakao kuwa wanaishi chini ya dola moja kwa siku! kwa sasa tunaweza sema wanaishi chini ya Tshs 2200 kwa siku!
 
trilion 50,ligawanye kwa watu milion 54 ni 925,925 kila mtanzania kwa sasa amelibeba ninachochukia tunakopa tunatengeneza barabara badala ya kujenga viwanda HOPELESS tangu uhuru tunajenga tu mabarabara.
 
Wasitutishe hao mabeberu hizo takwimu ni zao,sisi tunasubiri za ndani ya nchi. Mabeberu watulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…