pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hao kila siku wanakuja na takwimu zao tusha wazoea
Si mkule tu kinyesi ndugu.Njaa tupu huku, ndio sababu tunaomba mahindi tani milioni moja, ili tusiendelee kufa njaa.
Ndio umetoka shule kuelimishwa elimu ya madrassa...kwani huko hamfunzwi kutumia akili bali kutumia makalioAaaah si ndio maana Mkuu.Kagame aliwataka viongozi wa Africa tuwaangalie hawa jamaa kwa jicho makin na most of time tuwapuuzie kwa takwimu zao.
MK254, hivi kwanini Wakenya mnapenda sana kujilinganisha na TZ wakati nyie kiwango chenu cha ushindani ni USA?
Ni kawaida yenu kutukana.Ndio umetoka shule kuelimishwa elimu ya madrassa...kwani huko hamfunzwi kutumia akili bali kutumia makalio
Siku Disney Park ya kwanza inafunguliwa the brain behind it Walter Disney kwa bahati mbaya alifariki siku chache kabla.Utampongeza wewe hakuna ulazima wowote wa kujenga sgr dreamliner na hata stiglaz kwa sasa
Why bcoz hakuna mzigo wowote kanda hiyo Wala growth rate ya cargo sio kubwa kuhitaji sgr
Pili ukuaji wa sekta ya umeme yaani consumption rate ya umeme sio kubwa kiasi kuhitaji megawati 2100 za trions of money,ushahidi ni Kenya yenye uchumi mkubwa twice ours na connectivity kubwa tena ya viwanda lakini consumption iko chini ya megawati 2000 likewise Ethiopia so stiglaz ya nn wakati huu tu uliopo una surplus.Kwa nini tusiwe tunawekeza mid sized Hydro zilizoko Njombe? Ili baadae sana uchumi ulivuka gdp ya 100 USD ndio tufikirie kuwekeza huko?
Tatu sikuona sababu za msingi kufufua shirika la atcl kwa cash money na kwa haraka ikizingatiwa kwamba watu wa Tzn ni maskini hakuna wapanda ndege tungesubiri tufikie uchumi wa kati ndio tufanye hayo hata hasara na kutoa ruzuku kwa hayo mashirika ingekuwa kidogo kuliko sasa
Mwisho hayo mapesa yangewekezwa kuimarisha barabara kila kona ya nchi na kuifungua plus biashara, viwanda,kilimo,utalii,uvuvi,ufugaji,strategic airports na bandari yangeleta tija zaidi kwenye uchumi kuliko ambavyo yamevuruga uchumi na yatakuwa white elephants kwa miaka mingi ijayo coz lazima pesa zitafutwe upya kuwezesha hizo sekta ili hiyo miradi iweze kuwa na tija.Imagine mtu anajenga daraja la bln 700 la show off tutafika kweli?
Mla kinyesi wa Tz we ππNi kawaida yenu kutukana.
Endelea kutukana.Mwenye akili timamu anaelewa nilichoandika mfa njaa wa Turkana ww.
Watanzania huwa mnatusema sana kuhusu madeni, nyie mnajisifia kufanya kila kitu kwa pesa zenu za ndani, sasa inakuaje Benki kuu inawasema na kuwatahadharisha.
Bora sisi tuna mikopo lakini tupo kwenye uchumi wa kati, lakini ujilimbikize mikopo na bado unatajwa kwenye mataifa maskini, ni hatari sana..
-------------------------
Licha ya Serikali kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo inayotarajia kuboresha masisha ya wananchi, Benki ya Dunia imetahadharisha kuhusu ukopaji unaofanywa na Serikali.
Benki ya Dunia yatahadharisha deni la Taifa
Licha ya Serikali kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo inayotarajia kuboresha masisha ya wananchi, Benki ya Dunia imetahadharisha kuhusu ukopaji unaofanywa na Serikali.www.mwananchi.co.tz
Oh pole yako waliokula kinyesi ni familia moja huko Bukoba tena ni cha mbuzi na alokula ni mtoto mdogo wa wahanga wa hyo familia kwa kukosa uvumilivu pind mkubwa wao aendapo tafuta chakula.Mla kinyesi wa Tz we [emoji16][emoji16]
So Bukoba is your Tukana πππOh pole yako waliokula kinyesi ni familia moja huko Bukoba tena ni cha mbuzi na alokula ni mtoto mdogo wa wahanga wa hyo familia kwa kukosa uvumilivu pind mkubwa wao aendapo tafuta chakula.
Hii ni gap kubwa kulinganisha na the entire Turkana kufa njaa.
Try to hide your stupidity sometimes.So Bukoba is your Tukana [emoji23][emoji23][emoji23]