Hivi hayo magorofa na magari ya wakenya unayoya brand ww unafikiri ni ya wakenya, hapo kuna ukoko Wa manyang'au makoloni yameshikilia uchumi, Kenya zimejaa slums za kutosha hafu unatuambia kila mtu anaghorofa ya kwenda wapiKiuchumi nani yupo juu? Hata hivyo wewe ukiwa unadaiwa 1000 lakini huna nyumba wala gari huwezi kujiona una nafuu kwakuwa jirani yako anadaiwa 2000 wakati ana nyumba tano za ghorofa na gari 5. Utakuwa ni mbumbu mzungu wa reli ulimwengu uko huku kama utashangilia na kujiona una nafuu.
Mkuu unatapa tapa sana, Hilo deni la Kenya lipo katika situation mbaya ata wataalamu wa uchumi kutoka Kenya wana shauli litizamwe upya. Imefika hatua wanakopa ili walipe riba, kuna kitu kina itwa debt to gdp ratio, kenya imevuka kiwango stahimilivu. Nimeona unaongelea exports za Ke kuwa nyingi! Kaangalie statements za Balance of trade na balance of payment. zilinganishe za Tz na Ke. Ata mimi naeza nikawa mhanga wa approach za hii serikali na sera zake ila niki anza kuponda hapa ili mradi tu haito saidia kitu, bado ukweli utabaki kuwa ukweli. Tz economy inafanya vizuri sana on paper. Pole sana kuhusu perfume zako.Hahahaha kwamba Tanzania ina export vitu vingi sana kuliko inavyo import? Hahahaha ingekua inatoza kodi hata ukiwa na perfume zaidi ya 5 tu za either 2.2L au kua na alcohol chupa 3 unatozwa kodi leta hapa huo ushahidi? Tuone
Achana na perfume zangu huo ulikua ni mfano ili ieleweke kwamba bado nchi hii hali kiuchumi ni duni sana, sasa uchumi unafanya vizuri kwenye makaratasi tukija kwenye reality utasemaje? Uchumi wa Tanzania unaendeshwa on imports mdo wana forodhani watu wanakomaa sana kwenye vitu visivyohata na tija nasubiri mchangiaji wa juu hapo alete ushahidi msimamo wangu ni kua uchumonwa Kenya upo juu ya Tanzania hivyo si sahihi kuilinganisha uchumi wa Kenya na Tanzania kwa kigezo cha deni kua mara mbili ya TanzaniaMkuu unatapa tapa sana, Hilo deni la Kenya lipo katika situation mbaya ata wataalamu wa uchumi kutoka Kenya wana shauli litizamwe upya. Imefika hatua wanakopa ili walipe riba, kuna kitu kina itwa debt to gdp ratio, kenya imevuka kiwango stahimilivu. Nimeona unaongelea exports za Ke kuwa nyingi! Kaangalie statements za Balance of trade na balance of payment. zilinganishe za Tz na Ke. Ata mimi naeza nikawa mhanga wa approach za hii serikali na sera zake ila niki anza kuponda hapa ili mradi tu haito saidia kitu, bado ukweli utabaki kuwa ukweli. Tz economy inafanya vizuri sana on paper. Pole sana kuhusu perfume zako.
Itabidi ukubali kwa sababu GDP uliyoitaja ipo in dollars. Sasa kwa mfano, Pepsi Kenya inauzwa 1300, Tanzania unaipata kwa 1000.Nano kazungumzia exchange rate? Kenya ina export bidhaa nyingi sana tofauti na Tanzania ila sababu ni mbishi ngoja nikubali kwamba uchumi wa Kenya na Tanzania upo sawa
Wewe lete vigezo vinavyoonyesha kwamba uchumi wa Kenya upo juu ya Tanzania, unajua parameters zinazotumika kujua uchumi bora ni UPI?, Budget deficit ya Tanzania ni 2.3%, dept to GDP ratio ni 36%, uchumi unakua kwa 7%, FDI ni Mara mbili ya Kenya, inflation rate ni 3%, Kenya ni 6%, PPP ya Tanzania ni kubwa kuliko Kenya, Manufacturing sector ya Tanzania inakua kwa 6%, tourism revenue ni Mara mbili zaidi ya Kenya. Hivi unadhani uchumi ni GDP pekee?.Achana na perfume zangu huo ulikua ni mfano ili ieleweke kwamba bado nchi hii hali kiuchumi ni duni sana, sasa uchumi unafanya vizuri kwenye makaratasi tukija kwenye reality utasemaje? Uchumi wa Tanzania unaendeshwa on imports mdo wana forodhani watu wanakomaa sana kwenye vitu visivyohata na tija nasubiri mchangiaji wa juu hapo alete ushahidi msimamo wangu ni kua uchumonwa Kenya upo juu ya Tanzania hivyo si sahihi kuilinganisha uchumi wa Kenya na Tanzania kwa kigezo cha deni kua mara mbili ya Tanzania
Hahahaha75% ni madeni, sasa hapo kuna nchi kweli?Hahaaa am really enjoying this mdahalo mannnn. Tz imesamehewa deni Mara mbili ilhali Kenya haijawahi samehewa deni lolote. Pambaneni na hali yenu Kenya hamuiwezi. We know Kenya is in a debt crisis right now but we as Ugandans will stand by them although they tried to interfere with our internal affairs I mean politics.
Kwaio huu ndo ushahidi? Tangu ninakua mpaka sasa hivo ni mtu mzima nimekua nikisikia kwamba uchumi umekua kwa asilimia 7% lakini ni kwenye makaratasi sasa swali unaposema uchumi umekua lwa asilimia 7% unamaanisha nini haswa? Kilichoongezeka, Manufacturing Sector kukua kwa 6% unamaanisha nini haswa i.e viwanda vimeongezeka au uzalishaji umeongezeka? Maana hio statement ni very vague sababu haiakisi mazingira halisi maana biashara nyingi zimefungwa labda useme specifically ni kivipi imekua? Pia unaposema inflation rate ni 3% kwamba mwaka 2015 sukari ilikua ni 1800-2000 na sasa hivi tunavyoongea ni 2600-3000 ndo hio 3% au? Dizeli 2016 ilikua kati ya 1920-2000 sasa hivi ni 2385 kwamba ndo hio 3% ya inflation au?Wewe lete vigezo vinavyoonyesha kwamba uchumi wa Kenya upo juu ya Tanzania, unajua parameters zinazotumika kujua uchumi bora ni UPI?, Budget deficit ya Tanzania ni 2.3%, dept to GDP ratio ni 36%, uchumi unakua kwa 7%, FDI ni Mara mbili ya Kenya, inflation rate ni 3%, Kenya ni 6%, PPP ya Tanzania ni kubwa kuliko Kenya, Manufacturing sector ya Tanzania inakua kwa 6%, tourism revenue ni Mara mbili zaidi ya Kenya. Hivi unadhani uchumi ni GDP pekee?.
Embu cheki hio screenshot mkuu tusibishane saaanaItabidi ukubali kwa sababu GDP uliyoitaja ipo in dollars. Sasa kwa mfano, Pepsi Kenya inauzwa 1300, Tanzania unaipata kwa 1000.
Lakini Pepsi hiyo ikihesabiwa kama product (kumbuka GDP inapima products), itahesabiwa value yake kuwa TZS 1300 au 0.55$ wakati kwa Tanzania product hiyohiyo value yake itakuwa 0.43$.
Kwanini Pepsi hiyohiyo isipewe thamani moja? Kwa sababu ni kitu kilekile sasa kwanini kisiwe na thamani moja kimahesabu ili tujue wingi wa products katika nchi hizo?
Ndiyo maana mashirika mengi yanatumia Purchasing Power Parity (PPP), ambayo hutumia International dollars kujua thamani ya bidhaa za nchi. Yaani wataishusha Pepsi ya Kenya au wataikuza ya Tanzania ili zote ziwe na bei sawa in International dollars.
Sasa, ukitaka unaweza kwenda kuangalia value of GDP ya Tanzania in PPP halafu ulinganishe na ya Kenya, AU ukakaa humu na kupiga domo.
Unajua wewe unataka kuleta mazungumzo ya vijiweni, hizi data ninazokuambia, zimetolewa na wataalamu na kukubalika na UN, kama una maswali au wasiwasi na hizi data ni haki yako, ila kwa sasa hizi ndizo zilizokubalika na dunia nzima, kama unazo zinazopingana na hizi na zimethibitishwa na UN Tafadhali tuonyeshe, vinginevyo utabaki kupiga kelele zisizo na Mashiko.Kwaio huu ndo ushahidi? Tangu ninakua mpaka sasa hivo ni mtu mzima nimekua nikisikia kwamba uchumi umekua kwa asilimia 7% lakini ni kwenye makaratasi sasa swali unaposema uchumi umekua lwa asilimia 7% unamaanisha nini haswa? Kilichoongezeka, Manufacturing Sector kukua kwa 6% unamaanisha nini haswa i.e viwanda vimeongezeka au uzalishaji umeongezeka? Maana hio statement ni very vague sababu haiakisi mazingira halisi maana biashara nyingi zimefungwa labda useme specifically ni kivipi imekua? Pia unaposema inflation rate ni 3% kwamba mwaka 2015 sukari ilikua ni 1800-2000 na sasa hivi tunavyoongea ni 2600-3000 ndo hio 3% au? Dizeli 2016 ilikua kati ya 1920-2000 sasa hivi ni 2385 kwamba ndo hio 3% ya inflation au?
Ndiyo nilichokuambia hicho. Sema ndiyo hivyo tena.Embu cheki hio screenshot mkuu tusibishane saaana
Sasa kwanini unaamini Kenya ina GDP kubwa kuliko Tanzania? Wewe labda umetumia source gani?Kwaio huu ndo ushahidi? Tangu ninakua mpaka sasa hivo ni mtu mzima nimekua nikisikia kwamba uchumi umekua kwa asilimia 7% lakini ni kwenye makaratasi sasa swali unaposema uchumi umekua lwa asilimia 7% unamaanisha nini haswa? Kilichoongezeka, Manufacturing Sector kukua kwa 6% unamaanisha nini haswa i.e viwanda vimeongezeka au uzalishaji umeongezeka? Maana hio statement ni very vague sababu haiakisi mazingira halisi maana biashara nyingi zimefungwa labda useme specifically ni kivipi imekua? Pia unaposema inflation rate ni 3% kwamba mwaka 2015 sukari ilikua ni 1800-2000 na sasa hivi tunavyoongea ni 2600-3000 ndo hio 3% au? Dizeli 2016 ilikua kati ya 1920-2000 sasa hivi ni 2385 kwamba ndo hio 3% ya inflation au?
Kenya imefutiwa madeni mengi sana since it became independent.Hahaaa am really enjoying this mdahalo mannnn. Tz imesamehewa deni Mara mbili ilhali Kenya haijawahi samehewa deni lolote. Pambaneni na hali yenu Kenya hamuiwezi. We know Kenya is in a debt crisis right now but we as Ugandans will stand by them although they tried to interfere with our internal affairs I mean politics.
Mbona uchumi wao huulinganishi, linganisha basi tukuelewe vizuri, msomi wetuHadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1
Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
Na ukubwa wa economy hiyo kuambsorb hilo deni, usomi siku hizi umevamiwa kama bongo movieElimu kitu muhimu sana, tatizo siku hizi imevamiwa na watu wanaoamua kwa makusudi kuiweka pembeni kisa maslahi au ushabiki wa chama.
Unapopata habari, unajaribu kuangalia na kupima mambo kadhaa yanayoizunguka na kuhusiana na hilo jambo.
Hoja sio ukubwa au udogo wa deni, hiyo mikopo imeleta tija kwa taifa kiasi gani?