Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024


kumekucha
 
Na kweli, wapinzani si magaidi?
Hamza naye si gaidi?
Hawa magaidi wamefanya wahisani waondoke[emoji38]
 
Ndio nyie nyie, how does Mbowe chip in our conversation, kesho na wewe utakuwa eti waziri! We are trying to make a point about Madelu and not Mbowe as Mbowe is neither a Minister nor a gov employee!
Madelu kuwa Waziri sio sawa, ila Freeman Aikael Mbowe, BSc. MSc , Ph.D.Harvard, kuwa mwenyekiti wa Chadema ndio sawa sawa.
 
Mkuu kwa mujibu wa Sirro, RPC Kinondoni na Samia, Mbowe ni gaidi.
Unafanya mzahaa na mimi?Samia,Sirro na huyo RPC ni mahakama?Siku hizi Samia,Sirro na RPC wa Kinondoni ni mahakama za kuthibitisha kuwa mtu fulani ametenda kosa fulani?
 
Si wameyataka wenyewe?
Hao wafadhili wanajua kila uovu kuliko hata tujuavyo...acha waondoke
Hujajibu swali langu.Unaelewa kuwa kila mtu hana kosa ni mpaka ithibitike mbele ya sheria kuwa ana kosa?

Siku hizi Samia,Sirro na RPC wa Kinondoni ni mahakama za kuthibitisha kuwa mtu fulani ametenda kosa fulani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…