DENZEL OMONDI ambaye kwenye list ambayo walishirki kujipost bungeni huko kenya naye amefariki na kutupwa

Kama kawaida mtasingizia Kenyatta!! Ni hivi muswada ulikua mbovu na Kama ni kuua Ruto ameua sijui kwanini tunataka kusema kasingiziwa!! Yaani marais waafrika wanafanya ujinga alafu wakichukuliwa hatua wanadai ni hujuma za mabeberu au wapinzani
 
Uendeshaji wa Siasa za kiafrica ni mgumu sana. Lakini inaonekana Gen Z hawajui nini wanataka.
Serikali imeshafanya reforms kwa kila hatua lakini bado hawajalifikia lengo ni kama kuna kitu kinatafutwa.
1. Financial bill haikusainiwa.
2. Cut down government expenditure
3. Vyombo vya dola havitumii nguvu mpaka waandamanaji wanataka kuimba nao hozambe.

Kubwa zaidi kavunja baraza la mawaziri.

Siasa inahitaji akili nyingi sana. Kama hayo yanayofanyika kama anafanya Ruto angewaminya kimyakimya na usipatikane hata mfupa wao. Lakini kuweka wazi hivyo kuna political conspiracy .
 
Acha uoga
 
Hili swala la Kwa faida ya nani ndio limeipa nguvu SERIKAli flani kuwafanyia raia wake lolote wanalotaka huku wala nyasi wakiendelea kula msoto na matozo kila Kona ilihali walio madarakani wanaishi kama wako peponi.
 
Unajua haya mambo ni ya kuwa nayo makini sana. Maana kuna watu wasio wema huwa wanachukua advantage kwenye situation kama hii ili ionekane kwamba ni serikali ndio imemuua. Yaani hiyo serikali ya kenya itakuwa na ujinga kiasi gani eti ikamuue kabisa mtu mwenye public interest
 
Kila mtu akitaka kukaa nyuma matokeo yake ndio kama haya ya kuitwa keyboard warriors. Kila mtu hataki KULIPA gharama ila nataka mabadiliko Kwa hisani. Hilo halipo hisani alipewa Nyerere tu.
 
Siasa inahitaji akili nyingi sana. Kama hayo yanayofanyika kama anafanya Ruto angewaminya kimyakimya na usipatikane hata mfupa wao. Lakini kuweka wazi hivyo kuna political conspiracy
Kuweka wazi ni TISHIO kwa wengine kwamba "mfumo" upo macho na unakubali maandamano ila sio "uhaini" au uvunjifu wa amani.

Ruto messed up na wananchi wamechoka, sio kila kitu mtu katumwa au kalipwa wakati matatizo yapo obvious.
 
Hili swala la Kwa faida ya nani ndio limeipa nguvu SERIKAli flani kuwafanyia raia wake lolote wanalotaka huku wala nyasi wakiendelea kula msoto na matozo kila Kona ilihali walio madarakani wanaishi kama wako peponi.
Mkuu wewe upo tayari kujitoa "muhanga" kwa ajili ya Watanzania?

Ukiwa unaoza kaburini "Wapumbavu" wengine watakuwa IKULU wakifaidi na watoto wao matunda ya wewe kujitoa muhanga ilihali mkeo na watoto wako watakuwa wanaendelea kuteseka na shida zao.

Kwa kulitambua hilo ndiyo maana nikauliza, unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????
 
Mzee hakuna changes bila sacrifices, sehemu yeyote unapoona mabadiliko huwa yanakuja na gharama thus why hata JPM hayupo leo. He was striving for changes japo hakuishi muda mrefu ila leo hii treni inatembea bwawa la Nyerere limekamilika na tunatembea kwenye 8 lane road inayoamzia Kimara mwisho to Kibaha. Hizo ni faida za mapambano yake japo yeye hayupo ila familia yake inafurahia matunda hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…