Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Hapana hatujacopy kwao. Ni mfumo wa kiitelijensia tangu enzi kwa mtu anayeonekana anahatarisha amani ya nchi au kuongoza mapinduzi. Hutabaki salamaKENYA HII SYSTEM WANAYO ILA NDIO TUMEKOPY KWAO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hatujacopy kwao. Ni mfumo wa kiitelijensia tangu enzi kwa mtu anayeonekana anahatarisha amani ya nchi au kuongoza mapinduzi. Hutabaki salamaKENYA HII SYSTEM WANAYO ILA NDIO TUMEKOPY KWAO
YESU KRISTO alisulubiwa msalabani kwa faida yetu na yeye pia amepata faida iliyokubwa zaidi. Hakusulubiwa misalabani bure, bali MUNGU amempa UFALME na kumsimika kuwa MFALME WA WAFALME.Kwani Yesu aliposulubiwa msalabani wewe umepata faida Gani. Si angeweza Kugoma kusulibiwa?
Mbegu ili iote na kuzaa matunda lazima ife na ioze ndipo iote. je ile inayooza inapata faida Gani ili hali wanaokula matunda ni wengine?
Ukinielewa, nenda kaombe radhi usiponielewa ni sawa tu. Kaa kimya
Mkuu mbona aliyopo wanataka kumuondoa! Amefaidika nani?Yule atakayeingia Ikulu.
Walio coordinate hayo maandamano ndiyo waliofanya hayo mausji, wala siyo mamlaka iliyofanya hayo.Kupambana na mamlaka sio mchezo, mbaya zaidi walipost.
Kauliza zako zinaonyesha unashirikiKwanini unanihusisha na wanaoua? Nimemuua nani??????
Napinga watu kuuawa ndio maana nawashauri vijana wasishiriki maandamano ili wasije poteza uhai kizembe.Kauliza zako zinaonyesha unashiriki
Unakufa kwa Faida ya Watoto wako na Wajukuu zako wa baadae sio lazima kila kitu ukipate wewe...Unavamia ofisi za Bunge, unaharibu vitu halafu unaji post kwenye mitandao. Hiyo ni dharau kubwa kwa ofisi ya Bunge hawawezi kukuacha salama.
Utashughulikiwa tu. Kila kitu kina gharama zake, ukifanya kitu cha hovyo lazima ujiandae kulipia gharama.
Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????
Mwambie kuwa hata octopus, the squid, salmon and the common mayfly and aphid For the most part, the males die soon after fertilizing the female's eggs na hata the females live only long enough to birth their young before dying.kama umesoma iki kitabu kuna sehemu anasema "chembe ya ngano bila kufa iwezi kuzaa ngano zengine"
View attachment 3038350
"A GRAIN OF WHEAT" kiliandikwa na mkenya na setting ilikuwa Kenya kuwatia moyo wapigania 'haki' kwa maana ya uhuru. tusubiri dhima/kusudio la mwandishi litimie kwa uhalisia wake.Kupambana na mamlaka sio mchezo, mbaya zaidi walipost.
Wewe umekwisha jitoa "kafara" au unasisitiza tu ukiwa umejificha nyuma ya "keyboard"?Unakufa kwa Faida ya Watoto wako na Wajukuu zako wa baadae sio lazima kila kitu ukipate wewe...
Tuwe na Desturi ya Kujitoa kafara kwa ajili ya ustawi wa maisha ya watu wemgine
Why aren't you walk the talk?Mwambie kuwa hata octopus, the squid, salmon and the common mayfly and aphid For the most part, the males die soon after fertilizing the female's eggs na hata the females live only long enough to birth their young before dying.
So dealth is the victory that Someone lazma aachieve ili wanaosalia wapate wanachokihitaji
Nimejitoa kafara mara Nyingi sana..Wewe umekwisha jitoa "kafara" au unasisitiza tu ukiwa umejificha nyuma ya "keyboard"?
I've already Done it and Stil doing it..Why aren't you walk the talk?
I am afraid I disagree.Nimejitoa kafara mara Nyingi sana..
Sio lazma kwenye Siasa japo nimewahi kugombea ubunge ndani ya CCM Ila sikupita kwenye Kura za Maoni mara mbili mwaka 2015 na mwaka 2020..
Nimejitoa kafara mara kadhaa kama nilivyosema sio lazma iwe kwenye Siasa kwenye Uongozi kufanya kitu ambacho unajua Ni Risky kukifanya ila unakifanya ukiamini hata kama wewe ukipotea ila watu watakaokuja baadae watakuimba kama Shujaa na kukupongeza kwa ujasiri uliofanya..
Mpaka kufika Umri huu nimeacha Legacy Ambazo watu wanaamini Bila Mimi aidha zisingekuwepo au Zingechelewa Kufika..Kuna sehemu nikifika Bhasi nashangailia na kuheshimika unafikiri ni kwa sababu gani? Kwa sababu ya matebdo ambayo tulitake risk ambayo hakuna mtu angeweza kufanya hivyo..
Nakupa Somo ukiwa kama kijana Usiwe kijana usio na uthubutu Serikali inapenda kijana mzalendo mwenye Uthubutu na mwenye kusimamia Maslahi mapana ya Nchi na maendeleo bila kujali Madhara ya matokeo yake..
You must be insane to think and condones violence as the best approach to tackle political and economical obstacles.I've already Done it and Stil doing it..
I Am "generation X" Au "Baby Boomers"...
speaking from the top of my Generation sisi sasa hivi tunaangalia na kutoa Ushari tu kwa Milenial (Generation Y) na Generation Z na hata hawa Generation alpha...
Ila kwa sasa sisi sio Frontliners Tumefanya mengi tunayostahili Pongezi kwayo
Kila mtu atakufa na kuoza. Don’t be afraid of death..you’ll be liberated from it so next time you better learn the art of dying. Learn both ways to win and sometimes to accept defeat. To learn to die is to be liberated from it.Mkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.
Na hata kama watafanikiwa kuindoa Serikali ya Ruto madarakani, hao waliokufa wanapata faida gani???
Mimi binafsi sioni faida ya kupoteza uhai kwa kuindoa Serikali. Utaindoa lakini sio wewe wala ndugu zako watakaoingia Ikulu. Watakaoingia ni wengine ambao hata hawakujui. Wakati huo wewe unaoza kaburini.
Ndiyo maana nimeuliza unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????