Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

Haya mazee ya Darasa la 7 ndiyo hayajitambui kabusa. Na ndiyo yamejaa kwenye bunge hili. Full kujipendekeza ili kuficha madhambi yao kwenye biashara zao.

Namhakikishia Deo Sanga maarufu Kama Jah People kuwa MUNGU wetu aliye hai ATAINGILIA KATI kudhibiti hizo mbinu zenu za kumfanya Meko awe Rais wa milele.

Kuna kitu kitatokea kabla ya 2023, sisi tupige magoti tuzidi kuomba.

Sijui huyu Deo na mamburula wenzake kama walipata wasaa wa kukusoma:

"Namhakikishia Deo Sanga maarufu Kama Jah People kuwa MUNGU wetu aliye hai ATAINGILIA KATI kudhibiti hizo mbinu zenu za kumfanya Meko awe Rais wa milele."

Heshima kwako mkuu.
 
Anaitwa Juma Nkamia Watu Wa Kondoa Waliona Mbali Wakamtema
Ila mkuu ubunge kama ukijipanga vizur hata ukiukosa njaa inakuwa mbali na wewe.Wanamiezi 3 wapo pale wanalipana posho tu bado mshahara usiopungua milion8.
 
Sijui huyu Deo na mamburula wenzake kama walipata wasaa wa kukusoma:

"Namhakikishia Deo Sanga maarufu Kama Jah People kuwa MUNGU wetu aliye hai ATAINGILIA KATI kudhibiti hizo mbinu zenu za kumfanya Meko awe Rais wa milele."

Heshima kwako mkuu.
Asante Mkuu brazaj, matendo ya Mwendazake yalikuwa na dalili zote kuwa amekengeuka na roho yake ilikuwa mbioni kwenda jehanamu
 
Halafu COVID-19 jamani inachukua watu wazuri tu inatuachia haya matakataka? Zee pumbavu sana hili! Halafu Magu na yeye anauchuna tu bila kuwakaripia? Hatutaruhusu upumbavu huo, yeye amalize miaka yake tu atembee tunajua imebaki miaka minne tu full stop!

Hatimaye dudu kama lilikusikia vile mkuu.
 
Haya mazee ya Darasa la 7 ndiyo hayajitambui kabusa. Na ndiyo yamejaa kwenye bunge hili. Full kujipendekeza ili kuficha madhambi yao kwenye biashara zao.

Namhakikishia Deo Sanga maarufu Kama Jah People kuwa MUNGU wetu aliye hai ATAINGILIA KATI kudhibiti hizo mbinu zenu za kumfanya Meko awe Rais wa milele.

Kuna kitu kitatokea kabla ya 2023, sisi tupige magoti tuzidi kuomba.

Uliona mbali sana mkuu. Heshima kubwa kwako.
 
Hakowapi sasa yaani watu walifikia hatua ya kujitoa ufahamu kiasi kikubwa namna hii hili ni jana la Taifa
 
MBUNGE WA MAKAMBAKO AT

Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.

Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.

Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Kwann akatae? Haiwezekaniii!!! Atake asitake tutamuongezeaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸
 
MBUNGE WA MAKAMBAKO AT

Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.

Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.

Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.

Naunga mkono hoja, 5 mingine tafadhali
 
Back
Top Bottom