Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

Tunabadiri gia angani ni mwendo wa kumsifu Samia,Magufuli zama zake zimepita.Tunajipanga upya kujipendekeza kwa Magu
 
Mmh we jamaaa[emoji848][emoji848]
Mie msimammo wangu ni kuwa unapofanya kitu usijione kuwa u wa tofauti usidhani kuwa hakuna wa kuweza kuachieve ulicho achieve wewe.
Ni kama jamii zilitangulia kuiona elimu so wanajionaga special as if wengine hawatasoma. Nauliza tu dola ya rumi,ottoman,Alexander the great,babeli ziko wapo saivi. Wachina wanakuja juu wanawatishia waliotangulia kuwa wajanja jamani
 
Very true[emoji122][emoji122][emoji122]
 
maandamano yatafanyika lini? na mm nataka niwaunge mmono atawale milele! washenzi wakubwa mliifanya hii nchi mali ya ccm
 
Haya mazee ya Darasa la 7 ndiyo hayajitambui kabusa. Na ndiyo yamejaa kwenye bunge hili. Full kujipendekeza ili kuficha madhambi yao kwenye biashara zao.

Namhakikishia Deo Sanga maarufu Kama Jah People kuwa MUNGU wetu aliye hai ATAINGILIA KATI kudhibiti hizo mbinu zenu za kumfanya Meko awe Rais wa milele.

Kuna kitu kitatokea kabla ya 2023, sisi tupige magoti tuzidi kuomba.
[emoji15][emoji1483][emoji1483][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom