mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
???????Covid has detected his will soon and very soon
Shida ya matajiri wa kabila la WAKINGA ni utajiri wao wa masharti.Mtu akiwa na umbo kama lugola, ni hatari sana!
YAMETIMIA, soma mstari wa mwisho hapo juuHaya mazee ya Darasa la 7 ndiyo hayajitambui kabusa. Na ndiyo yamejaa kwenye bunge hili. Full kujipendekeza ili kuficha madhambi yao kwenye biashara zao.
Namhakikishia Deo Sanga maarufu Kama Jah People kuwa MUNGU wetu aliye hai ATAINGILIA KATI kudhibiti hizo mbinu zenu za kumfanya Meko awe Rais wa milele.
Kuna kitu kitatokea kabla ya 2023, sisi tupige magoti tuzidi kuomba.
Na yule aliyekuwa mtangazaji RTD akawa mbunge Kondoa kama sijakoseaAlly Kessy Ndiyo Kamuachia Majukumu Hayo
Mambo Ya Ccm Ni Magumu Yanatia Kinyaa!!😏😏
Tulikuwa tunasisitiza na bado tunasisitiza umuhimu wa kujenga taasisi imara na siyo mtu imara, John alijijenga yeye mwenyewe matokeo yake kauli za yeye kutawala milele zikaanza.
John alidhoofisha taasisi zote ndani ya nchi, zikafanya kazi kinyume na utaratibu, maneno yake yakawa ndiyo sheria. R.I.P Kiongozi katili kuwahi kutokea ndani ya nchi yetu nzuri tuliyopewa na Mungu.
![]()
Anaitwa Juma Nkamia Watu Wa Kondoa Waliona Mbali WakamtemaNa yule aliyekuwa mtangazaji RTD akawa mbunge Kondoa kama sijakosea
Waliona wamelamba galasa 🤣 😀Anaitwa Juma Nkamia Watu Wa Kondoa Waliona Mbali Wakamtema
He was exceptional, yule ndiye aliwapigania wananchi toka rohoniNyerere alisema tuna Maadui watatu ila mimi nasema huyo mmoja UJINGA ndio Kiongozi wa Maadui wengine.
Walilamba Mav**♧Waliona wamelamba galasa 🤣 😀
[emoji16][emoji16][emoji16]mbona mara ukawa yatima tenaNa "sisi" tunasema kwa kuwa amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais, tunataka aongezewe muda wa kuishi hata kama hatma yake imefika, tusikubali aondoke na kutuacha yatima.
Akaja Simba Sport kugombea Uwenyekiti nako kagaragzwa na Mangungu.Anaitwa Juma Nkamia Watu Wa Kondoa Waliona Mbali Wakamtema
Fuatilieni. Huko aliko atakuwa taabani. Mnafiki unaweza kupata mafanikio ya kipindi, lakini siyo ya kudumu.Juma Nkamia ni fungu la kukosa. Ametoka kakosa Ubunge pamoja na kujifanya kumwabudu Mwendazake. Akaja Simba kugombea Uwenyekiti akapigwa chini na Mangungu