Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Polepole na Bashiru waonyeshwe mlango wa kutokea,ndio magwijiNa kuondokana kabisa na hili kundi la WANAFIKI walio mzingira na kumvuruga kabisa Rais aliye tutoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polepole na Bashiru waonyeshwe mlango wa kutokea,ndio magwijiNa kuondokana kabisa na hili kundi la WANAFIKI walio mzingira na kumvuruga kabisa Rais aliye tutoka.
So namie nimekuwa kama lema ama mie niliongea tu kuwa smt usimtegemee binadamuSwali lako linaakisi hali iliyotokea.
Mie msimammo wangu ni kuwa unapofanya kitu usijione kuwa u wa tofauti usidhani kuwa hakuna wa kuweza kuachieve ulicho achieve wewe.Mmh we jamaaa[emoji848][emoji848]
Huyu alivyo tumuombe tu Ndugu Covid afanye yake. ..
Uliona mbali sana mkuuPost yangu ya tarehe 3 February 2021 wakati Deo Sanga anasema Magufuli aongezewe muda wa kutawala. Soma mstari wa mwisho hapo juu. YAMETIMIA
Mimi nimesahe mkuu sina tatizo naye tenaBabati huyu Magufuli ametesa watu. Waache wanafaiki wachache na wasioelewa wanao mlilia, walio wengi ameathiri sana maisha yao. Na hao ndiyo maombi yao Mungu kayasikia. YAMETIMIA
Niache bwana,[emoji846] nina majonziUnasema?
Very true[emoji122][emoji122][emoji122]Mie msimammo wangu ni kuwa unapofanya kitu usijione kuwa u wa tofauti usidhani kuwa hakuna wa kuweza kuachieve ulicho achieve wewe.
Ni kama jamii zilitangulia kuiona elimu so wanajionaga special as if wengine hawatasoma. Nauliza tu dola ya rumi,ottoman,Alexander the great,babeli ziko wapo saivi. Wachina wanakuja juu wanawatishia waliotangulia kuwa wajanja jamani
Vipi ndugu yangu amerudi au mitano tenaNiache bwana,[emoji846] nina majonzi
[emoji15][emoji1483][emoji1483][emoji15][emoji15][emoji15]Haya mazee ya Darasa la 7 ndiyo hayajitambui kabusa. Na ndiyo yamejaa kwenye bunge hili. Full kujipendekeza ili kuficha madhambi yao kwenye biashara zao.
Namhakikishia Deo Sanga maarufu Kama Jah People kuwa MUNGU wetu aliye hai ATAINGILIA KATI kudhibiti hizo mbinu zenu za kumfanya Meko awe Rais wa milele.
Kuna kitu kitatokea kabla ya 2023, sisi tupige magoti tuzidi kuomba.
Kweli kabisa jamaa lazima aongezewe muda amalize miradi yake yote 2030 itafaaMimi nadhani hii mipango inapikwa na mzee baba mwenyewe.
Tujiandae kuwa na Kim Jong un wa bongo aisee.
Wa tz tumeisha aisee