Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
"Rais wetu Dkt. Magufuli amefanya kazi kubwa, ombi langu hapa ndani atake asitake tumuongezee muda ili aweze kufanya kazi yake vizuri ili mipango aliyoipanga ikamilike, nilisema kipindi fulani hata China walifanya hivyo si dhambi kumuongezea anayefanya vizuri" - Deo Sanga
#Bungeni
View attachment 1693592
Kumekucha sasa lile bunge la kijani linaanza kazi waliyoipigania .
Haya ndiyo vitu sisi tulikuwa tunazitaka sasa! Hongera sana Bunge letu. JPM is going nowhere. ^We will be back in some form^ ~ Donald Trump.