Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka




Haya ndiyo vitu sisi tulikuwa tunazitaka sasa! Hongera sana Bunge letu. JPM is going nowhere. ^We will be back in some form^ ~ Donald Trump.
 
Covid haijaona msosi wake huu hapa?.
 
 
Haya maneno ya kulishwa. Hivo munamuona MAGU ni mzuri sana?. Haya makampuni yenye kupewa kandarasi ya kujenga majumba na barabara munajuwa ni ya nani. Munajuwa waziri wa fdha ni nani na kawekwa hapo kwa nini. ?. Nyimbo musiojiuwa munaichezea nini?. Au ni mdundiko ndio munao furahia?.
 
Hii issue inaibukaga inapotea naona imerudi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Chenge huyuhuyu wa kashifa ya vijisenti na uozo wa Trl ama unamsema Chenge mwingine nisiyemjua mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kashindwa kusema kero au matatizo ya wananchi wake anatuletea Mambo ya ajabu ajabu

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Eti “hata asipotaka”. Huyu hata akitamani, hatuwezi kusigina Katiba yetu ili kumuaccomodate mtu mmoja. Ni fedheha kufikiri kwamba kati ya Watanzania 58M+, ni Jiwe tu anayeweza kutuongoza

Lakini huu upuuzi upo hata kwenye vyama vyetu vya siasa.
 

The new version of Juma Nkamia and Ali Kesi
 
Hawa ndio mabunge ambayo hayajashinda kwa kura yaliiba na haya mak. Yapo awamu zote
 
Kwanza huyo aliyeongea akapimwe Kwanza huwenda anashida fulani kwasababu yeye anashiba mwili MKUBWAAA???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…