Deogratius Mahinyila Mwenyekiti wa Bavicha adaiwa kuandaa vijana kufanya vurugu kwenye Mkuano Mkuu

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,358
Deo Mahinyila Mwenyekiti mpya wa Bavicha ameanza na mguu mbaya ndani ya Chadema mara baada ya ushindi wake.

Mahinyila aliyejipambanua kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu kwa siku 2 alizokaa madarakani ameligeuza Baraza hilo kama mali yake binafsi.

Akizungumza katika mkutano wa Mwanaharakati Godbless Lema leo Mwenyekiti huyo wa Bavicha amesema Baraza la Vijana linamtaka Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti na si vinginevyo.

Mahinyila ameenda mbali na kusema Baraza lake linawataka vijana kote nchini kutafuta nauli kuja jijini Dar es Salaam tarehe 21 kudhibiti alichokiita watoa rushwa na kuhakikisha Tundu Lissu anachaguliwa kuwa Mwenyekiti.

Deogratius Mahinyila pia anatuhumiwa kukusanya vijana na kwenda nao kwenye mkutano wa Bawacha jana na kufanya vurugu kulazimisha kuingia ndani ya ukumbi kabla ya kudhibitiwa na vikosi vya ulinzi vya chama hicho.

Deogratius Mahinyila anachokifanya ni kinyume kabisa na kanuni kwa sababu hana mamlaka ya kuliamulia Baraza la vijana kwamba achaguliwe nani hiyo ni kujaribu kwa makusudi kuleta vurugu na mgogoro mkubwa ndani ya Baraza na chama.

VIongozi kadhaa waandamizi wa Chadema wamemshauri Katibu Mkuu John Mnyika kumpa onyo kali kijana huyu na ajue mipaka yake kama Mwenyekiti wa vijana wote wa Chadema nchini.

Mara baada ya uchaguzi akishinda Freeman Mbowe Mwenyekti huyu wa Bavicha atapata kazi kubwa kuliongoza Baraza la vijana na kuaminika na Kamati Kuu kutokana na tabia aliyoionyesha iliyo nje kabisa na utamaduni wa Chadema.
 
Attachments

  • VID-20250117-WA0181.mp4
    5 MB

picha za wafanyufujo pls
 
Naona wahuni wa CHADEMA mmeshikwa pabaya.Msiingilie majukumu ya BAVICHA, Tulieni kijana afanye majukumu yake
 
waje tu kufungiwa kwenye magodown🐒
 
Timu Mbowe mnaanziasha fujo wenyewe ili muingize kura feki. Mtabaki na CHADEMA yenu
 
Wazazi wenye watoto wawe makini..

Hako kadogo kataonja joto ya jiwe hakajawah ona..

Kaache katumike, waulize waliomtuma Dr Slaa imekuwaje yupo lockup hadi leo
 
Deo Mahinyila Mwenyekiti mpya wa Bavicha ameanza na mguu mbaya ndani ya Chadema mara baada ya ushindi wake.

Mahinyila aliyejipambanua kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu kwa siku 2 alizokaa madarakani ameligeuza Baraza hilo kama mali yake binafsi.

Akizungumza katika mkutano wa Mwanaharakati Godbless Lema leo Mwenyekiti huyo wa Bavicha amesema Baraza la Vijana linamtaka Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti na si vinginevyo.

Mahinyila ameenda mbali na kusema Baraza lake linawataka vijana kote nchini kutafuta nauli kuja jijini Dar es Salaam tarehe 21 kudhibiti alichokiita watoa rushwa na kuhakikisha Tundu Lissu anachaguliwa kuwa Mwenyekiti.

Deogratius Mahinyila pia anatuhumiwa kukusanya vijana na kwenda nao kwenye mkutano wa Bawacha jana na kufanya vurugu kulazimisha kuingia ndani ya ukumbi kabla ya kudhibitiwa na vikosi vya ulinzi vya chama hicho.

Deogratius Mahinyila anachokifanya ni kinyume kabisa na kanuni kwa sababu hana mamlaka ya kuliamulia Baraza la vijana kwamba achaguliwe nani hiyo ni kujaribu kwa makusudi kuleta vurugu na mgogoro mkubwa ndani ya Baraza na chama.

VIongozi kadhaa waandamizi wa Chadema wamemshauri Katibu Mkuu John Mnyika kumpa onyo kali kijana huyu na ajue mipaka yake kama Mwenyekiti wa vijana wote wa Chadema nchini.

Mara baada ya uchaguzi akishinda Freeman Mbowe Mwenyekti huyu wa Bavicha atapata kazi kubwa kuliongoza Baraza la vijana na kuaminika na Kamati Kuu kutokana na tabia aliyoionyesha iliyo nje kabisa na utamaduni wa Chadema.
Mbowe akishinda ataaminiwa na nani? Tutamsubiri huku site tumuoneshe namna alivyo sawa na Cheyo au Lipumba.
Nani mwenye akili atamuunga mkono? Kama tu alivyotoka gerezani akafisadi pesa za chama na kutengeneza namba fake ya kukusanyia pesa za wanachama
 
Deo Mahinyila Mwenyekiti mpya wa Bavicha ameanza na mguu mbaya ndani ya Chadema mara baada ya ushindi wake.

Mahinyila aliyejipambanua kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu kwa siku 2 alizokaa madarakani ameligeuza Baraza hilo kama mali yake binafsi.

Akizungumza katika mkutano wa Mwanaharakati Godbless Lema leo Mwenyekiti huyo wa Bavicha amesema Baraza la Vijana linamtaka Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti na si vinginevyo.

Mahinyila ameenda mbali na kusema Baraza lake linawataka vijana kote nchini kutafuta nauli kuja jijini Dar es Salaam tarehe 21 kudhibiti alichokiita watoa rushwa na kuhakikisha Tundu Lissu anachaguliwa kuwa Mwenyekiti.

Deogratius Mahinyila pia anatuhumiwa kukusanya vijana na kwenda nao kwenye mkutano wa Bawacha jana na kufanya vurugu kulazimisha kuingia ndani ya ukumbi kabla ya kudhibitiwa na vikosi vya ulinzi vya chama hicho.

Deogratius Mahinyila anachokifanya ni kinyume kabisa na kanuni kwa sababu hana mamlaka ya kuliamulia Baraza la vijana kwamba achaguliwe nani hiyo ni kujaribu kwa makusudi kuleta vurugu na mgogoro mkubwa ndani ya Baraza na chama.

VIongozi kadhaa waandamizi wa Chadema wamemshauri Katibu Mkuu John Mnyika kumpa onyo kali kijana huyu na ajue mipaka yake kama Mwenyekiti wa vijana wote wa Chadema nchini.

Mara baada ya uchaguzi akishinda Freeman Mbowe Mwenyekti huyu wa Bavicha atapata kazi kubwa kuliongoza Baraza la vijana na kuaminika na Kamati Kuu kutokana na tabia aliyoionyesha iliyo nje kabisa na utamaduni wa Chadema.

..Deo Mahinyila alikuwa katika jopo la mawakili waliokuwa wakimtetea Mwenyekiti Mbowe katika kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili.
 
Kiukweli vijana wa chadema wameonesha nikwakiwango Gani vijana wa taifa Hilo wanaueleawa mdogo wa masauala MBALIMBILI wanaongozwa na mihemko hawana reasoning capacity ya masauala mtabuka wenyewwe ni bendera fuata upepo sasa unaambiwa eti ni wakili wa mahakama KUU lakini ukimtafakari jinsi anavyoongea Nikama Bado anagombea kumbea tayari nikiongozi ambaye anatakiwa kuwa leta vijana WOTE pamoja kaZi hii italuwa mgumu kwake
 
Deo Mahinyila Mwenyekiti mpya wa Bavicha ameanza na mguu mbaya ndani ya Chadema mara baada ya ushindi wake.

Mahinyila aliyejipambanua kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu kwa siku 2 alizokaa madarakani ameligeuza Baraza hilo kama mali yake binafsi.

Akizungumza katika mkutano wa Mwanaharakati Godbless Lema leo Mwenyekiti huyo wa Bavicha amesema Baraza la Vijana linamtaka Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti na si vinginevyo.

Mahinyila ameenda mbali na kusema Baraza lake linawataka vijana kote nchini kutafuta nauli kuja jijini Dar es Salaam tarehe 21 kudhibiti alichokiita watoa rushwa na kuhakikisha Tundu Lissu anachaguliwa kuwa Mwenyekiti.

Deogratius Mahinyila pia anatuhumiwa kukusanya vijana na kwenda nao kwenye mkutano wa Bawacha jana na kufanya vurugu kulazimisha kuingia ndani ya ukumbi kabla ya kudhibitiwa na vikosi vya ulinzi vya chama hicho.

Deogratius Mahinyila anachokifanya ni kinyume kabisa na kanuni kwa sababu hana mamlaka ya kuliamulia Baraza la vijana kwamba achaguliwe nani hiyo ni kujaribu kwa makusudi kuleta vurugu na mgogoro mkubwa ndani ya Baraza na chama.

VIongozi kadhaa waandamizi wa Chadema wamemshauri Katibu Mkuu John Mnyika kumpa onyo kali kijana huyu na ajue mipaka yake kama Mwenyekiti wa vijana wote wa Chadema nchini.

Mara baada ya uchaguzi akishinda Freeman Mbowe Mwenyekti huyu wa Bavicha atapata kazi kubwa kuliongoza Baraza la vijana na kuaminika na Kamati Kuu kutokana na tabia aliyoionyesha iliyo nje kabisa na utamaduni wa Chadema.
Mtakoma mwaka huu..mpaka Lissu awe mwenyekiti mtakuwa mmeshika adabu
 
Hiki chama hiki, soon kitakufa na kubakia mifupa kama ya TLP na CUF. Inauma sana ila huu uhuni wetu hautufikishi mbali!! Sisi ni Chadema buana, wengi watu sisi wahuni, tukiongozwa na mhuni mmoja hivi mwenye chuki, anayeumwa na uhusuda, asiyependa wenye pesa na asiye na sumile katika kupigania uluwa wa madaraka. Wahuni watu wabaya sana.
 
Kama anaratibu hilo namuunga mkono 100%

Haiwezekani tunaibiwa uchaguzi wa vitongoji vijiji na mitaa wananchi wanabaki kulaani tu

Hapakuwa na nguvu ya umma kudhibiti uhuni tuliofanyiwa

Kila mmoja wetu alibaki kufarijiana kwa maneno tu

So busara nguvu ya umma ihuishwe Ili uchaguzi mkuu CCM na dola waje na mbinu zingine na sio kupora mchakato wa uchaguzi mnzima

Nguvu ya umma ndio itaamua kama watu waendelee kugombea kupitia vyama vya upinzani au wawaachie CCM wafanye watakavyo
 
Back
Top Bottom