Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

 
Mmeelewa lakini? Yaani Samia akifa akiwa madarakani, huyu jamaa ndio atakuwa raisi wa Tanzania
 
Maneno "pipa na mfuniko" yana viashiria vya uhaini. Kesho saa 3 uripoti mwenyewe "sentro"
 
..ana uzoefu gani ktk serikali au chama?

..ana sifa gani za ziada kumfanya astahili kuwa VP?

..Je, yuko tayari kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu ikiwa Mama atashindwa kutekeleza majukumu yake?
Nadhani ana uzoefu wa kurithi kutoka kwa Baba yake Pancreus Ndejembi aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma na pia Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa Taifa!
 
Ole wake aje kusema watanzania wanahitaji katiba mpya.
 
Huo ni uvunjifu wa Katiba ya mwaka 1977.
Kwa mujibu wa Ibara ya 50(4), ni Rais anatakiwa kumteua mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais ndani ya siku 14 tangu nafasi hiyo kuwa wazi.
Hakuna mahali kamati kuu ya chama imepewa jukumu hilo!
Pia hizo siku 14 zinaanza tar. 4 Sept
 
Elimu:
Alisoma shule ya msingi 1988–1995: Cannon Andrea Mwaka, Primary School β€” CPEE

kisha 1996–1998: Kigurunyembe Secondary School β€” CSEE/Jamhuri Secondary na

2002–2004: Merton College β€” ACSEE
Hizi elimu za miaka hizi naona zinamatatizo sana hata kuzielezea haiwezekani!

Utapeli na ulaghai umekuwa mwingi kupita kiasi!

Ni kama kuna ushindani kuonyeshana elimu za ujinga..
 
Nadhani ana uzoefu wa kurithi kutoka kwa Baba yake Pancreus Ndejembi aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma na pia Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa Taifa!
Hakika "uzoefu wa kurithi" kama ilivyo kwa wengi wengine ndani ya kundi hilo (hiki siyo chama tena, bali ni kundi la watu wenye 'interests' zinazofanana).
 
Kule wizara ya ardhi ameacha madudu na bado kuna ma file ameyashikilia hovyo sana huyo kijana
kama wizara ya ardhi hakuimudu vema, migogoro ya ardhi imekuwa mingi balaa, watu wananyang'anyana ardhi kinyemela, umakamu atakuwa boya tu, atakuwa ceremonial leader asiyekuwa na impact katika maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…