Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

Hii nchi inahitaji katiba mpya wananchi haraka iwezekanavyo. Tukiendelea kufumbia macho haya madudu, kuna siku watoto na wajukuu wetu watakuja kutucheka sana.
Unakumbuka mkuu, nilikwambia unadhani wapo tayari kubadilika? Je, kuna mipango ya kuzuia haya yasitokee.?

Imagine mama ghafla anadondoka, huyu jamaa ndo anakuwa rais wa nchi.
 
Mbona sura ya kipemba kabisa hii.

Watu wa 80s naona wana VP, ikitokea huyo mama akalala bila kuamka jamaa anakuwa prezdaa
 
Duh! Huyu si mdogo kuliko abdulu wandugu? Ishakua kama mama na mwana, anaingia kwa ofisi na shikamoo za kutosha na ndio mama, kina wanu wamepata mdogo wao watamtuma kama hausiboi wao hapa? Kuna vyeo vinataka maturity kama hivi, sasa hapa hatari tu.

All in all mamaduro kaonyesha umma jinsi anavyokerwa na katiba mpya, yupo tayari kumvua yoyote madaraka na hata kuchinja ili mradi msisiemu asiseme mambo ya katiba, na ndio maana ana hasira sana na Tundu Lissu
 

Kwa hiyo kaamua kuchua garasha ....!!
 
Hili jina sikulifikiria kabisa aisee....😁😁
 

Tunaomba mtuoneshe na mama yake makamu mteule. Maana kwa huyu baba mmmh.
 
Nina ushuhuda na hilo jambo kuhusu huyu dogo kwenye madudu yake japo wengi hawamzingatii labda kwa sababu sio mtu wa media sana ila ana uchafu mwingi sana tena hapo kwenye wizara aliyoteuliwa mwaka 2024 Ina uchafu

Sahivi yuko nishati, tabu tupu.
 
Huyo anaonekana ni KOBISI aliyechangamka.... Ameteua atakayempelekesha..!!. Kina Masauni watakomba pesa za ofisi ya muungano mpka basiii....kammaaaeee wallahi kikwete na uzao wako mtakufa miqundu juu.

😂😂😂😂
 
Huo ni uvunjifu wa Katiba ya mwaka 1977.
Kwa mujibu wa Ibara ya 50(4), ni Rais anatakiwa kumteua mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais ndani ya siku 14 tangu nafasi hiyo kuwa wazi.
Hakuna mahali kamati kuu ya chama imepewa jukumu hilo!

Katiba ni kajitabu tu, ila yakitokea ya kutokea inageuka GUJITABU
😂😂😂
 

😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…