lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Mmeanza lawama .. Huyo Wlider hata game ya kwanza alipigwa sema alibebwa ikawa draw...Dah boxing ina maajabu kweli. Sijui wamempoison mshikaji. Yaani kazidiwa round zote mwanzo mwisho. Kama sio yeye, yaani harushi hata ngumi za maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani leo umeona sasa
Sent using Jamii Forums mobile app