Deontay Wilder vs Tyson Fury -2

Deontay Wilder vs Tyson Fury -2

Instagram media - B85ocGgh9Pq ( 728 X 750 ).jpg


Anachonga sana, wakati ni bondia wa kawaida sana, halafu hana adabu.

Ana bahati sana refa kamuokoa angeachwa hadi round ya 8 angekufa kudadeki zake!

Bado kimbelembele mwingine anaitwa Antony Joshua, siku zake zinahesabika.
 
Kazi za sikio hearing,acceleration na balance.

Sasa Wilder alivyo fumuliwa ngumi ya sikio balance akawa hana kabisa,kuanzia round ya 5 Tyson akawa anajichagulia pakupiga hana haraka.
 
Amewahishwa hospital baada ya kipigo. Alichonga kuwa baada ya pambano kutakuwa na party
 
Back
Top Bottom