Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ni mambo ya hovyo sana yaani walifanya maksudi kuruhusu mechi kubwa kuchezewa uwanja ambao hauna vigezoTFF nao inaviongozi wabovu sana wasiokuwa na maono
Mechi zote ni sawa tu. Hebu tusiwakweze sana hawa Simba na Yanga. Timu zote zinatakiwa ziwe sawa, hizi timu mbili pia zinatakiwa zicheze saa nane mchana kama timu zingine.Ni mambo ya hovyo sana yaani walifanya maksudi kuruhusu mechi kubwa kuchezewa uwanja ambao hauna vigezo
Mjinga mwingine huyu hapaSasa wewe ulichopanic nini mbona wewe ndo kama senge!!?
Kwahyo hiyo dabi ndo inamuondolea simba sifa ya kutochagua uwanja mwingine!!?
Mi nkajua unawalaumu kwa kutokua na viwanja vyao wakati ni timu kongwe lkn suala la kuchagua uwanja lipo chini ya mikono yao maadamu wanalipa.
We unahela unaweza panga nyumba ya hovyo!!?
Unaliwa wewe sio bure😂😂😂😂😂😂Mjinga mwingine huyu hapa
Wewe ni mjinga haswa
Hakunaga tuzo ya matusiUnaliwa wewe sio bure😂😂😂😂😂😂
Kwa hilo povu nina wasiwasi hata kipa atakua keshaacha goli. 😂😂😂😂😂😂😂😂
Yangu mimi matusi lkn yako ni maneno ya faraja au sio!!?Hakunaga tuzo ya matusi
Kwa hiyo wewe tukana wewe wala usichoke
Unadhani utaniogopesha na matusi kamwe hutaweza
Shughuru kuhama uwanja kwa timu ambazo hazina uwanja ni kawaida tuUnangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF
kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika uwanja ni mbovu wanakukubalia kumbuka week iliyopita walikukingia kifua kwamba uwanja ni mzuri swali kwanini wakuruhusu uame
Simba ni timu yenye viongozi wabovu na hovyo sijapata ona wale mashabiki waliokuwao wanashupaza shingo kutete mechi kuchezewa isamuyo waje tena watete uamuzi wa kuama na kuuponda uwanja wa isamuyo
TFF nao inaviongozi wabovu sana wasiokuwa na maono
Sawa Arajiga KayokoUnangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF
kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika uwanja ni mbovu wanakukubalia kumbuka week iliyopita walikukingia kifua kwamba uwanja ni mzuri swali kwanini wakuruhusu uame
Simba ni timu yenye viongozi wabovu na hovyo sijapata ona wale mashabiki waliokuwao wanashupaza shingo kutete mechi kuchezewa isamuyo waje tena watete uamuzi wa kuama na kuuponda uwanja wa isamuyo
TFF nao inaviongozi wabovu sana wasiokuwa na maono
Hilo sio jambo la ajabu,nchi zingine mfano Misri kuna mechi zimetungiwa kanuni kwamba ni lazima zichezeshwe na marefa kutoka nje ya nchi zao.Na sio mechi zote ni baadhi tu,hivyo sio hambo la qjabu kwa mechi za yanga na simba kuchezeshwa na marefa kutoka njeMpira wa Bongo una siasa nyingi sana za nje ya uwanja. Mfano mdogo tu ni ule wa mechi za Yanga na simba kuchezeshwa na waamuzi kutoka nje!
Lengo ni nini hasa! Na kwa nini mechi zinazohusu timu nyingine kwenye ligi hazichezeshwi na hao waamuzi kutoka nje? Haya mambo mbona hatuyaoni kwenye nchi nyingine zinazojitambua? Au ni kwa sababu Misri wanafanya, basi na sisi tunatakiwa kuiga?
Kwa nini TFF wasikiimarishe kitengo cha waamuzi ili kiaminike na pia kiwe na tija?
Endelea kujifariji na matusi na usichokeYangu mimi matusi lkn yako ni maneno ya faraja au sio!!?
Hiyo utajua mwenyewe!
Kuna point hujaielewa tatizo la Tanzania ni kupenda kukomoana ndo tatizo linaloitafuna hii nchiMada nzuri ya watu wafunguke lakini imekuwa ni matusi mwanzo mwisho. Kuna haja gani mjibizane kwa matusi na ni jambo ambalo ungelibisha tu kwa hoja lakini ati mpaka mtu aseme mwingne mjinga sa kama ni mjinga si umtoe huo ujinga kwa kumuelimisha kuwa ipo hivi na hivi kwa kutumia maneno yenye busara kidogo na hautapungukiwa chochote. Hapa hata mtu akiingia atashndwa kuchangia hoja ya maana na ataendelea na matusi tu. Wabongo jirekebisheni. Watu wazima lakini mnajifanya hamnazo.
Kuhusu mada simba au yanga kuchagua uwanja hawana kosa lolote coz wanalipia ni sawa na wewe unaitaji nyumba ya kupanga lazima uchague inayokufaa. Tatizo lipo tff. Hawa watu wana uyanga na usimba ndani yake ndio maana unaona kila mechi lazma migogoro. Wana uwezo wa kuimarisha safu ya waamuzi na wakafanya vizuri tena zaidi. Lakin sheria wanazo na hawazitumii. Simba na yanga ntawalaumu kwa kukosa viwanja vyao na ni timu ambazo zina uwezo wa kufanya hivyo. Na kukosa uwanja ndio inaleta hii migogoro yote.
Umeandika point nzuri katika hii thread ila utagundua ni namna gani Simba ilivyo na mashabiki wa hovyo.Mjinga mwingine huyu hapa
Wewe ni mjinga haswa
Nakazia marefa kutoka nje ya nchi.Hilo sio jambo la ajabu,nchi zingine mfano Misri kuna mechi zimetungiwa kanuni kwamba ni lazima zichezeshwe na marefa kutoka nje ya nchi zao.Na sio mechi zote ni baadhi tu,hivyo sio hambo la qjabu kwa mechi za yanga na simba kuchezeshwa na marefa kutoka nje
na ndio pale nimesema wana uyanga na usimba yaani kila jambo lazima wajue wanamfanyia nani na ni wawapi. Hawafanyi kazi kwa uweledi. Simba na yanga kuna mda wanatoa sare na hizi timu wanazosema ndogo na vile vile simba na yanga wanatoana kwa sare lakini kwa kuwa tff walishajua hizi timu mbili kuna watakachokipata inabidi kuwabeba coz wanajua miamala lazma isome. Kwa miaka ya mbele tanzania mpira utaporomoka kama bongo flava. Bongo flava walibebwa hivo kwa tabia ya mfano wasanii wawil wameimba nyimbo na maneno waliyoyatumia ni yale yale lakini unashangaa mmoja wimbo wake unafungiwa mwingne unaendelea na leo hii wasanii wengi wamebaki jna tu. Msanii sio mtu wa kuegemea chama kimoja no, lazma uwe neutral sawa na tffKuna point hujaielewa tatizo la Tanzania ni kupenda kukomoana ndo tatizo linaloitafuna hii nchi
Mtu anajua anachofanya sio sahii lakini anafanya tu ili amkomoe mtu fulani na hii sio tu kwenye mpira bali kwenye mambo mengi