Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #41
Watanzania wana mental health plus stress za maishatofauti hata na swala la mpira yaan maada yeyote jf haikosi tusi na ukijaribu kuangalia anayetukanwa hajasema baya lolote.
Huwezi kuwa mental fit ukaanza kuporomosha matusi kwa mtu ambaye hakuna baya lolote amekufanyia