Mechi zote sio sawa angalia attendance na promotion kama zipo sawaMechi zote ni sawa tu. Hebu tusiwakweze sana hawa Simba na Yanga. Timu zote zinatakiwa ziwe sawa, hizi timu mbili pia zinatakiwa zicheze saa nane mchana kama timu zingine.
Umeilewa kweli hoja yangu?Hilo sio jambo la ajabu,nchi zingine mfano Misri kuna mechi zimetungiwa kanuni kwamba ni lazima zichezeshwe na marefa kutoka nje ya nchi zao.Na sio mechi zote ni baadhi tu,hivyo sio hambo la qjabu kwa mechi za yanga na simba kuchezeshwa na marefa kutoka nje
Non Of Ma bizzz!!!!Endelea kujifariji na matusi na usichoke
Ulianza kuporomosha matusi ukajua na mimi ntaunga tela la matusuNon Of Ma bizzz!!!!
🚮🚮🚮🚮🚮🚮Ulianza kuporomosha matusi ukajua na mimi ntaunga tela la matusu
Mimi sijafundishwa kutukana sijui kutukana
Attendance na promotion siyo kigezo cha kufanya timu fulani kutopangiwa kucheza mechi saa nane mchana.Mechi zote sio sawa angalia attendance na promotion kama zipo sawa
Kwani,mechi ya Simba dhidi ya chura ilipopelekwa Amani pale Zanzibar kwa kushtukiza ulikuwa wapi?Chura ni chura tu!Unangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF
kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika uwanja ni mbovu wanakukubalia kumbuka week iliyopita walikukingia kifua kwamba uwanja ni mzuri swali kwanini wakuruhusu uame
Simba ni timu yenye viongozi wabovu na hovyo sijapata ona wale mashabiki waliokuwao wanashupaza shingo kutete mechi kuchezewa isamuyo waje tena watete uamuzi wa kuama na kuuponda uwanja wa isamuyo
TFF nao inaviongozi wabovu sana wasiokuwa na maono
Utafananisha uwanja wa aman na isamuyoKwani,mechi ya Simba dhidi ya chura ilipopelekwa Amani pale Zanzibar kwa kushtukiza ulikuwa wapi?Chura ni chura tu!
Na TFF watapitishaDABI IJAYO BUNJU COMPLEX
Mechi za cardb federation zilivyopelekwa uwanja wa aman mbona simba hawakulalamikaKwanini nyie mechi ya Ligi Kuu Bara mliipeleka Zanzibar? Kikwajuni na Malindi waliwahi kuja kucheza mechi ya Ligi ya Zanzibar huku bara? Au ndo kujipendekeza kwa mama yenu?
Mlichokifanya kupeleka derby Z'bar ndo walichokifanya Simba kupeleka derby Isamuhyo. Tena uamuzi wa Simba una nafuu.
Mlipaswa mkomeshwe ili siku ingine muheshimu.watu.Utafananisha uwanja wa aman na isamuyo
Uwanja uliochezewa nusu fainal ya confederations na fainal unaufananisha na isamuyo ambao navyoongea sahivi simba wameukimbia
Jiulize kwanini simba wameukimbia uwanja wa isamuyo
Kwanini Amani Stadium? Hiyo derby ya NBCL si mngeipeleka hata Chamazi? Tutawanyoosha tu na kujipendekeza kwenu kisiwani.Mechi za cardb federation zilivyopelekwa uwanja wa aman mbona simba hawakulalamika
Uwanja wa Taifa upo kwenye matengenezo, wa arusha hujakamilika uwanja ambao unatakiwa kutumika ni uwanja wa aman na sio uwanja wa isamuyo ambao mpaka sahivi simba wameukimbia tayari
Jiulize kwanini simba ghafla wameukimbia uwanja wa isamuyo kama walikuwa wanamkomoa yanga wakijua uwanja ni mbovu
Na hizi tabia za simba ndo zimetapakaa kwenye serikali nyingi za Afrika watu wanajua sio sahii ila wanafanya kuwakomoa watu flani au mtu flani na wanasahau kwamba na wao wanaishi nchi hiyo hiyo
Mashabiki wa simba hawanaga akili!Mada nzuri ya watu wafunguke lakini imekuwa ni matusi mwanzo mwisho. Kuna haja gani mjibizane kwa matusi na ni jambo ambalo ungelibisha tu kwa hoja lakini ati mpaka mtu aseme mwingne mjinga sa kama ni mjinga si umtoe huo ujinga kwa kumuelimisha kuwa ipo hivi na hivi kwa kutumia maneno yenye busara kidogo na hautapungukiwa chochote. Hapa hata mtu akiingia atashndwa kuchangia hoja ya maana na ataendelea na matusi tu. Wabongo jirekebisheni. Watu wazima lakini mnajifanya hamnazo.
Kuhusu mada simba au yanga kuchagua uwanja hawana kosa lolote coz wanalipia ni sawa na wewe unaitaji nyumba ya kupanga lazima uchague inayokufaa. Tatizo lipo tff. Hawa watu wana uyanga na usimba ndani yake ndio maana unaona kila mechi lazma migogoro. Wana uwezo wa kuimarisha safu ya waamuzi na wakafanya vizuri tena zaidi. Lakin sheria wanazo na hawazitumii. Simba na yanga ntawalaumu kwa kukosa viwanja vyao na ni timu ambazo zina uwezo wa kufanya hivyo. Na kukosa uwanja ndio inaleta hii migogoro yote.
tofauti hata na swala la mpira yaan maada yeyote jf haikosi tusi na ukijaribu kuangalia anayetukanwa hajasema baya lolote.Mashabiki wa simba hawanaga akili!
Maswala ya kuwanyoosha hayahusiani na uziKwanini Amani Stadium? Hiyo derby ya NBCL si mngeipeleka hata Chamazi? Tutawanyoosha tu na kujipendekeza kwenu kisiwani.