Derby kuchezewa Isamuyo kabla ya week kuisha watu wanahamia KMC- Simba na TTF ina viongozi wajinga sana

tofauti hata na swala la mpira yaan maada yeyote jf haikosi tusi na ukijaribu kuangalia anayetukanwa hajasema baya lolote.
Watanzania wana mental health plus stress za maisha
Huwezi kuwa mental fit ukaanza kuporomosha matusi kwa mtu ambaye hakuna baya lolote amekufanyia
 
Watanzania wana mental health plus stress za maisha
Huwezi kuwa mental fit ukaanza kuporomosha matusi kwa mtu ambaye hakuna baya lolote amekufanyia
ntafungua uzi wa matusi mtu akijisikia kutukana anaingia huko anatukana wee nyongo ikimshuka anarudi
 
"TFF nao inaviongozi wabovu sana wasiokuwa na maono"
 
Karia ni kirusi kikubwa katika tasnia ya soka hapa nchini. Pamoja na uhuru wa club mwenyeji kuwa na uhuru wa kuchagua uwanja, mechi za derby zichezwe kwenye viwanja vya kueleweka vya hapa bara, tena zichezeshwe na marefa wazawa. Derby pamoja na masuala mengine ya clubs, ina mchango mkubwa katika branding ya ligi.
 
Karia hajui maana ya branding ni nini imagine mechi kubwa ya kuitangaza nchi inaenda kuchezewa vichochoroni alafu baada ya hiyo mechi watu wanakimbia uwanja na unawakubalia

Imagine mtu yupo drc, uganda, Rwanda anaangalia Derby kubwa ya afrika mashariki inachezewa vichochoroni sijui kwanini hata aibu hatunaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…