MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Wewe Kama umeshindwa mutumia fursa ya ufanyakazi wa uma usione kila mtu yuko Kama wewe. Sio kila mtumishi wa umma anajenga kwa mkopo, kupanga pia ni kuchagua. Kama mtu hawezi kufanya biashara ameamua kuishi na hiyo kazi hadi kufa ni chaguo lake.Wewe ndio mfinyu wa kuelewa ,soma upya
Siku ukijua kuwa BOSS wa dereva BAJAJ ni huyo huyo Mtumishi wa Umma unayemdharau utakuwa umekuwa mtu mzima.Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..
Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia wote wa Umma.
Dereva Bajaji akikosa sana Kwa siku baada ya kutoa ya boss ni anabakiwa na 30,000-40,000 take home ambayo ni sio chini ya 1,000,000 on average hapo hana gharama za usafiri Kwa familia yake au kwenye mishe zake maana atatumia hiyo hiyo bajaji ya boss..
Ni Watumishi wangapi wa Umma wanapata milioni Moja Kwa mwezi hata wakiwa na hizo posho? Binafsi ni mtumishi wa Umma naongea ambacho Nina uhakika nacho.Hata Mimi mwenyewe hiyo take home ya milioni Moja naiona kwenye basic tuu sio take home,Laiti ningekuwa nafanya kazi sehemu ambayo Haina posho ningeadhirika,huu ndio ukweli.
Sasa chukukia Watumishi wengi wa Umma pamoja na Mishahara midogo Kuna wanapata posho ila unakuta posho zenyewe hazifiki hata Laki 5 Kwa mwezi,huyu atachaje kuwa na maisha magumu sawa na bodaboda?
Kwa dereva Bajaji yeye alifanya kazi miaka 2 tuu ananunua Bajaj yake lakini Watumishi wako kazini miaka na miaka kujenga tuu Hadi Mkopo na nyumba xinaishia njiani.
Mwisho Serikali iache kudhalilisha Watumishi,iwaongezee Mishahara Ili wapate hadhi inavyostahili badala ya kudharaulika Kila siku na ndio sababu ya wake zao wengi kugongwa hovyo na madereva Bajaji na Bodaboda maana wao Wana uhakika wa supply ya pesa na ule usafiri unawapa hadhi kushinda Mtumishi.
Mtumishi wa Umma na Biashara wapi na wapi? Unafanya Kwa favour ya kazi ukihamishwa au Kustaafu nayo inakufa au kufukuzwa inakufa unakuwa hoi.Wewe Kama umeshindwa mutumia fursa ya ufanyakazi wa uma usione kila mtu yuko Kama wewe. Sio kila mtumishi wa umma anajenga kwa mkopo, kupanga pia ni kuchagua. Kama mtu hawezi kufanya biashara ameamua kuishi na hiyo kazi hadi kufa ni chaguo lake.
Kama utumishi wa umma unakufelisha acha kazi kaendeshe bajaji then ulete ushuhuda hapa.
Mleta mada kapwaya sana kwa kweli. Zile indirect benefit za mtumishi wa umma kwanza hazijui kabisa. Pia hajui maboss wa hizo bajaji ni akina nani. Inaonekana ni mtu wa kufeli na kutafuta wa kusingizia.Siku ukijua kuwa BOSS wa dereva BAJAJ ni huyo huyo Mtumishi wa Umma unayemdharau utakuwa umekuwa mtu mzima.
Mtumishi huyu huyu anayeweza kutumia mshahara wake kukopa hadi 100M umlinganishe na dereva Bajaj??? Dereva Bajaj huyu huyu ambaye naye anafanya hiyo kazi kwakuwa ajira za serikali amekosa?
Be serious lkn pia Mwanaume hutakiwi kufuata mkumbo saaaana.
Kwakuwa mkimbizi LEMA kasema jambo basi nawewe unalibeba kama msukule vile. Naona kama Lema ni limbukeni fulani ambaye alikuwa hajawahi kupata exposure, ile kwenda Ulaya amerudi kila jambo anaona umaskini yaani kwake VIKOBA, KUPIGA DEGE, BODA BODA anaona kama havifai kwa mantiki hiyo anataka kila alichoona CANADA kifanyike na Tanzania which is incorrect. Mtu huyu anahitaji ELIMU
Porojo hizo,wapo ila ni wachache na ndio wanapigwa sana hao WatumishiSiku ukijua kuwa BOSS wa dereva BAJAJ ni huyo huyo Mtumishi wa Umma unayemdharau utakuwa umekuwa mtu mzima.
Mtumishi huyu huyu anayeweza kutumia mshahara wake kukopa hadi 100M umlinganishe na dereva Bajaj??? Dereva Bajaj huyu huyu ambaye naye anafanya hiyo kazi kwakuwa ajira za serikali amekosa?
Be serious lkn pia Mwanaume hutakiwi kufuata mkumbo saaaana.
Kwakuwa mkimbizi LEMA kasema jambo basi nawewe unalibeba kama msukule vile. Naona kama Lema ni limbukeni fulani ambaye alikuwa hajawahi kupata exposure, ile kwenda Ulaya amerudi kila jambo anaona umaskini yaani kwake VIKOBA, KUPIGA DEGE, BODA BODA anaona kama havifai kwa mantiki hiyo anataka kila alichoona CANADA kifanyike na Tanzania which is incorrect. Mtu huyu anahitaji ELIMU
Kwanza anayo?Hongera kwa ugunduzi, Sasa Acha kazi ukaendeshe bajaji
Job security boss hatuwez kua sawa. Bajaj ikiwaka moto je😀Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..
Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia robo tatu wa Umma.
Dereva Bajaji akikosa sana Kwa siku baada ya kutoa ya boss ni anabakiwa na 30,000-40,000 take home ambayo ni sio chini ya 1,000,000 on average hapo hana gharama za usafiri Kwa familia yake au kwenye mishe zake maana atatumia hiyo hiyo bajaji ya boss..
Ni Watumishi wangapi wa Umma wanapata milioni Moja Kwa mwezi hata wakiwa na hizo posho? Binafsi ni mtumishi wa Umma naongea ambacho Nina uhakika nacho.Hata Mimi mwenyewe hiyo take home ya milioni Moja naiona kwenye basic tuu sio take home,Laiti ningekuwa nafanya kazi sehemu ambayo Haina posho ningeadhirika,huu ndio ukweli.
Sasa chukukia Watumishi wengi wa Umma pamoja na Mishahara midogo Kuna wanapata posho ila unakuta posho zenyewe hazifiki hata Laki 5 Kwa mwezi,huyu atachaje kuwa na maisha magumu sawa na bodaboda?
Kwa dereva Bajaji yeye alifanya kazi miaka 2 tuu ananunua Bajaj yake lakini Watumishi wako kazini miaka na miaka kujenga tuu Hadi Mkopo na nyumba xinaishia njiani.
Mwisho Serikali iache kudhalilisha Watumishi,iwaongezee Mishahara Ili wapate hadhi inavyostahili badala ya kudharaulika Kila siku na ndio sababu ya wake zao wengi kugongwa hovyo na madereva Bajaji na Bodaboda maana wao Wana uhakika wa supply ya pesa na ule usafiri unawapa hadhi kushinda Mtumishi.
Wenzio tunafanya biashara na kuingiza mamilioni nje ya mshahara. Wewe endelea kukariri hadithi za alinacha. Skills huna wewe sie tunazo maana tukitoka kazini tunajichanganya na washkaji mtaani. Wewe ukitoka kazini unaenda kugombania rimoti na Watoto nyumbani.Mtumishi wa Umma na Biashara wapi na wapi? Unafanya Kwa favour ya kazi ukihamishwa au Kustaafu nayo inakufa au kufukuzwa inakufa unakuwa hoi.
Robo tatu ya Watumishi wa Umma ukiacha walimu hufa au Kufilisika punde baada ya kustaafu ,ni nadra sana kufikisha miaka 75 Kwa sababu hawana skills za maisha Nje ya Ajira.
Anannunua nyingine ndio maana ana mapato kukuzidiJob security boss hatuwez kua sawa. Bajaj ikiwaka moto je😀
Sawa Kila mtu abaki na chake hatuwezi kufananaAnannunua nyingine ndio maana ana mapato kukuzidi
Na Sio watumishi wote wa umma wanafanana na wewe. Jiongeze acha kutafuta visingizio. Visingizio hukaa na wavivu wa fikra ili wasionekane wazembe.Sawa Kila mtu abaki na chake hatuwezi kufanana
Wapi nimetafuta visingizio? Wapi nmesema sijiongezi?Na Sio watumishi wote wa umma wanafanana na wewe. Jiongeze acha kutafuta visingizio. Visingizio hukaa na wavivu wa fikra ili wasionekane wazembe.
sorry man nlidhani ni Yule Mleta postWapi nimetafuta visingizio? Wapi nmesema sijiongezi?
huyo dereva bajaji anaendesha bajaji ya nani mbona hamsemi?Mpaka sasa WATUMISHI 1-3 DEREVA BAJAJI
Kwa imani ya ukristo, imeandikwa katika Biblia kuwa umri wa kuishi mwanadamu ni miaka 70 na kwa neema unaweza fika miaka 80. Kwa hiyo kusema hawatoboi miaka 75 sio kwa sababu ya kuwa watumishi wa umma, hayo ni maelekezo ya Mungu, wachache sana watafika miaka hiyo 70. Pia lifespan ya Tanzania bila kujali kazi ni miaka 50 kama sikosei.Mtumishi wa Umma na Biashara wapi na wapi? Unafanya Kwa favour ya kazi ukihamishwa au Kustaafu nayo inakufa au kufukuzwa inakufa unakuwa hoi.
Robo tatu ya Watumishi wa Umma ukiacha walimu hufa au Kufilisika punde baada ya kustaafu ,ni nadra sana kufikisha miaka 75 Kwa sababu hawana skills za maisha Nje ya Ajira.