Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

Duuh🤔🤔,. Anaendeleaje sasa saizi?
 
Aise,wadada wa mjini vina tamaa
Walitaka kuingia mlimani City kwa mbwembwe

Ova
 
Vijinga kumbe, mngevitia vidole pumbav
 
Ila vijana wa jf mnawaza kama wavulana muda wote.
Pole yake huyo aliyeumia na apate uponyajibwa haraka.

NB: Washauri hao wadogo zako wasipende kuigiza maisha ambayo hawana ndo gharama zake hizo. Hapo walikuwa wanatafuta snapchat za kuringishia kwenye mitandao. Halafu waambie ujinga wa kwenda kutoa taarifa za uongo polisi siku wakikutana na watu wakawakomalia itawatokea puani.
 
Inaonekana huyu ndio dereva mwenyewe
 
Sawa wamekusikia maan pia ni wapumbavu kusema wameibiwa 10m
 

View: https://x.com/GIVENALITY/status/1817504252467576929?t=FFyZg5lp8w492268Chg5NA&s=19
 

View: https://x.com/GIVENALITY/status/1817504252467576929?t=FFyZg5lp8w492268Chg5NA&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…