GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa ujeuri wake akaendelea kutaka Kuvuka na hatimaye lori Kusombwa.
Inasikitisha na inakera mno tu.
View attachment 2975159
Hivi kwa Utaalam wako Mkuu unadhani kati ya hao Raia unaowaona Wamezama Majini Mtoni kutakuwa na Aliyepona hapo?Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Nawewe unakua mpumbafu kama wakenya?¿Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Wapo waliopona naamini, nikiwatazama waliokuwa wanaelea baada ya lorry kuzama naona wengi vichwa vyao vipo juu ya maji, kama wali maintain hiyo hali mbele kidogo naona wingi wa maji ulikuwa unapungua maji yalikuwa yanasambaa zaidi.Hivi kwa Utaalam wako Mkuu unadhani kati ya hao Raia unaowaona Wamezama Majini Mtoni kutakuwa na Aliyepona hapo?
Sababu ninayoiona mimi hapa ni tofauti na hii uliyoandika, hilo lorry kutembea juu ya mchanga wa mtoni ndio sababu yake kuanguka na kuzama.Nawewe unakua mpumbafu kama wakenya?¿
Hujui gari linatembea tairi na tairi zina upepo though zinaelea??
Watanzania hatuko hivi
Ina mana hamjawahi kujua kwamba matairi na maboya hayana tofauti!???hata kama gari Ina mzigo kiasi Gani, ikiingia kwenye maji tairi zinaanza fanya kazi yake kama boya, ni lazima zieleeMaji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
na gari linaelea au tairi peke yake mkuu?Ina mana hamjawahi kujua kwamba matairi na maboya hayana tofauti!???hata kama gari Ina mzigo kiasi Gani, ikiingia kwenye maji tairi zinaanza fanya kazi yake kama boya, ni lazima zielee
Na wao ni Wapumbavu hivi unaona kabisa Mto umefurika halafu bado tu upo katika Lori. Sometimes wanaokufa Kizembe hivi tusiwe tunawaonea Huruma bali tuacheni tu waende kwani inakera kama siyo kuudhi pia. Umeona hapo hizo Njemba mbili zilizokuwa zikidandia Lori awali baadae zilipoona Mochwari inakaribia Kwao wakaachia na kuwaacha hao Majuha wakamwage Mtoni?Hao jamaa juu ya lori mbona hawakuruka
Nature huwachukua mapema wajingaIngekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa ujeuri wake akaendelea kutaka Kuvuka na hatimaye lori Kusombwa.
Inasikitisha na inakera mno tu.
View attachment 2975159
Vifo hivi ni vya Kipumbavu na Upumbavu wetu wa Asili Waafrika ambao hata aliyekuwa Rais wa US Trump alishausemea.Kifo kina siri kubwa
Yaani wanaona kabisa ngoma inaelekea kuzama wanakaa kusubiri, mi ningeruka maama naona kwenye barabara washikaji wanatembea tu fresh. Watu wanachoshindwa kujua maji hata kama ni kidogo ikiwa hahajatuama ni shida, matairi hayagusi ardhiNa wao ni Wapumbavu hivi unaona kabisa Mto umefurika halafu bado tu upo katika Lori. Sometimes wanaokufa Kizembe hivi tusiwe tunawaonea Huruma bali tuacheni tu waende kwani inakera kama siyo kuudhi pia. Umeona hapo hizo Njemba mbili zilizokuwa zikidandia Lori awali baadae zilipoona Mochwari inakaribia Kwao wakaachia na kuwaacha hao Majuha wakamwage Mtoni?
Acheni kila Kitu kutupia tu lawama Mamlaka / Serikali sawa? Kwahiyo ukiambiwa kuwa Demu fulani ana UKIMWI na Usimkaze Wewe utataka hadi Waziri wa Afya / Rais wa Nchi aje Chumbani Kwako Ghettoni akuzuie Usimbandue huyo Demu? Siku zingine jitahidi ujue Kufikiri vyema kwani kwa leo Umechemsha mno Kifikra hapa.Uzembe Ni Mamlaka husika kutoifunga hiyo barabara Kwa mafuriko. Constructive manslaughter/ corporate manslaugher inawahusu Kama kweli tupo serious Na uhai wa watu
Hii sababu yenu ya jumla sana, hamuangalii sababu nyingine tofauti kulingana na nature ya eneo la ajali, naona mmekariri.Ina mana hamjawahi kujua kwamba matairi na maboya hayana tofauti!???hata kama gari Ina mzigo kiasi Gani, ikiingia kwenye maji tairi zinaanza fanya kazi yake kama boya, ni lazima zielee
Kwangu Mimi Dereva na Waliopanda ( hata kama Wamekufa ) wote ni Wapumbavu tu na wala sioni Aibu kuwaita hivi.Dereva ni mzembe sana kwa kweli, na waliokubali kupanda pia ni waajabu sana kifikra.....Kwa waliopoteza maisha RIP. ila najiuliza sana.....hivi kwa nini waafrica hatutaki kufanya swala la kujua kuogelea kuwa ni moja ya ujuzi muhimu kwa kila mtu kua nao.... Binafsi ningelikua miongoni mwa hao jamaa, baada ya gari kunituma majini basi ningeanza tu kuzichapa kasia za mikono taratibu huku mara moja moja nikipiga (kantundu), yani ile unazama kabisa chini ya maji na kupiga kasia za chinichini na mwisho nakua nimevuka kiulaini kabisa.