S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
Hebu niambie maana ya neno constructive manslaughter na occupiers liability katika sheria. Kama huyajui kaaa kimya. Ujinga kila sehemu bila kujua kinacho ongelewa. Ndio maana hatujui namna ya kujikwamua tulipo kwama hata kufuata mkondo wa maji tunashindwa.Huu mchezo wa kutaka kulaumu serikali kila saa bila kuangalia wajibu wetu utatuua wa Africa sanaa, yan wew unaona hio barabara ilivyo hivo na maji bado unataka watu waje waweke magogo kuifunga usipite ? Umekuwa kuku wew ? Kwamba huwez tumia akili kuona hapo hapapitiki ? Mamlaka hazina kosa hapo, ni upuuzi wa waliokuwepo hapo
Kama unajitambua ... Serikali zalima ilaumiwe perid.
Nani alijenga hiyo barabara, hicho kipande cha mafuriko (kipande cha ardhi yalipotokea hayo mafuriko) kinamilikiwa na nani kama sio serikali ( Iwe ya mtaa au kuu?) nani anahusika kukifanyia maintance? nani ni incharge wake kunapotokea mafuriko?
Unajiita Beberu, lakini Beberu huwa hafanyi ujinga kama wako. Kwa sisi tulio ishi na Beberu huko kijijini tunajua uwezo wake wa kung'amua kama mbuzi jike ana mimba au la ili asipigiwe miti kwa kunusa mkojo tu. Na wewe unajiita Beberu ili hali hata kunusa mkojo ni shida. Wapi na wapi ndugu yangu?