Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Mbona nasikia kama lugha ya kiswahili hapo. Hayo maji mbona ya kawaida sana. Kama kalitumbukiza kwa makusudi !!!!Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa ujeuri wake akaendelea kutaka Kuvuka na hatimaye lori Kusombwa.
Inasikitisha na inakera mno tu.
View attachment 2975159
Unaeleweshwa lakini bado unang'ang'anaSababu ninayoiona mimi hapa ni tofauti na hii uliyoandika, hilo lorry kutembea juu ya mchanga wa mtoni ndio sababu yake kuanguka na kuzama.
Kwasababu licha ya uzito wa lorry, lakini kawaida nature ya mchanga haiwezi kuhimili kitu kizito { mchanga unamomonyoka kirahisi} hivyo tairi za lorry zikakosa balance zilizohitaji chini ya maji ili ziendelee kujishika chini na lorry kuendelea na safari, ndio maana lorry likasogezwa mpaka kwenye kingo ya mto na hatimaye kuanguka.
■ Hapa ni sawa na wewe ukiwa unazama mahali, lazima utafute kitu chenye kuendana na uzito wako ili kikupe support usichukuliwe na maji, lakini ukijishika kwenye kitu kisicho na uzito sawa na wako, lazima utazama.
Sababu uliyoitoa wewe ningeiamini endapo hilo lorry lingekuwa linatembea juu ya barabara ya lami pamoja na huo uzito wake, kisha nione kama lingezama, au kama unao huo mfano niwekee hapa niuone.
Acha / Acheni wafe tu kwani ni Kifo cha Kujitakia kutokana na Upumbavu wetu wa Asili Sisi Miafrika. Sijui nani Aliyeturoga.Mbona nasikia kama lugha ya kiswahili hapo. Hayo maji mbona ya kawaida sana. Kama kalitumbukiza kwa makusudi !!!!
Tyre zinaupepo so huwa zinanyanyuliwa ili gari lielee bahati mbaya mlunakuta mzigo haujabalance linayumbishwaa..Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Kwa nini sasa hizo tairi hazijaisaidia gari kuelea??Ina mana hamjawahi kujua kwamba matairi na maboya hayana tofauti!???hata kama gari Ina mzigo kiasi Gani, ikiingia kwenye maji tairi zinaanza fanya kazi yake kama boya, ni lazima zielee
Kwa hiyo mzigo uki balance licha ya tairi kuwa na upepo gari halitaanguka na kuzama, au sio?Tyre zinaupepo so huwa zinanyanyuliwa ili gari lielee bahati mbaya mlunakuta mzigo haujabalance linayumbishwaa..
Sababu zenu wote mmekariri, hamuwezi elaborate.Unaeleweshwa lakini bado unang'ang'ana
Because naturally We Africans are Fools.
Gari linaelea kwasababu ya upepo wa kwenye tairi. Hio ndo sababu kuu ya gari kusombwa na maji.Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Acha wafe / tufe tu Mkuu kwani Waafrika hatujawahi Kumiliki Akili katika Mibichwa yetu na tunachojua ni Kurogana tu basi.Africa kila kitu tunapenda kujaribu hata vile vitu vya hatari likishatokea ndiyo tunajilaumu (sisi wenyewe watendaji).
Kama hao hapo kitu ni hatari na wanajua ni hatari,lakini ngoja tujaribu,katikati ya kujaribu yanatokea majaribu wanaanza kujilaumu ”ningejua ningeacha niende kesho,kwanini sikwenda kulala kwa fulani na aliniambia nikakataa,ningejua ningesubiri yapungue” na mengineyo wakati huo roho zikiacha miili.
Marehemu asemwi vibaya kaka.Kwangu Mimi Dereva na Waliopanda ( hata kama Wamekufa ) wote ni Wapumbavu tu na wala sioni Aibu kuwaita hivi.
Mimi nawasema vibaya Mkuu na hata siwaonei Huruma. Unachokifanya Wewe hapa ni Unafiki na hii ndiyo imekuwa Dhambi kuu kwa Sisi Miafrika kiasi kwamba ndiyo maana hadi leo hii tuko tuko hata baadhi ya Wanyama wanatuzidi Akili. Yaani unaona kabisa mnaenda Kufa Kizembe halafu unataka Wakifa tuwe na Ustaarabu katika Kuwasemea? Siyo Kwangu Mimi GENTAMYCINE. Wote waliozama, kufa na kupona ni FOOLS nimemaliza.Marehemu asemwi vibaya kaka.
by the way waliopanda gari ni wapumbavu sana bhana tena kuliko hata dereva😀Mimi nawasema vibaya Mkuu na hata siwaonei Huruma. Unachokifanya Wewe hapa ni Unafiki na hii ndiyo imekuwa Dhambi kuu kwa Sisi Miafrika kiasi kwamba ndiyo maana hadi leo hii tuko tuko hata baadhi ya Wanyama wanatuzidi Akili. Yaani unaona kabisa mnaenda Kufa Kizembe halafu unataka Wakifa tuwe na Ustaarabu katika Kuwasemea? Siyo Kwangu Mimi GENTAMYCINE. Wote waliozama, kufa na kupona ni FOOLS nimemaliza.
Sasa kwanini mwanzoni ulikuwa Ukiwatetea? Nachukia mno Watu wenye Unafiki Unafiki katika Masuala.by the way waliopanda gari ni wapumbavu sana bhana tena kuliko hata dereva😀
sasa na raia kwa nini waliamua kuendelea na safari ijapokuwa wamesikia wenzao wakiwaonya? Na sisi pia tutumie akili kidogo, mtu asiwaze tu kuwa anataka kuwahi safari.Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa ujeuri wake akaendelea kutaka Kuvuka na hatimaye lori Kusombwa.
Inasikitisha na inakera mno tu.
Demu hahusiki na mambo haya ya corporate constructive manslaughter Poti... nachojiuliza, hapo kwenye mafuriko, ni nani kiongozi wao aliyeruhusu barabara kutumika kwa hali ilivyokuwa? siilau serikali kuu kwa sababu moja tu- tuna devolved admistration Tanzania nzima hata na visiwani, yaani serikali kuu na serikali za mitaa.sasa huyo mkuu wa serikali za mtaa huo analo la kujibu na ikiwezekana awajibike kwa vifo vilivyo tokea hapo kama kweli vipo. Bado sijachemsha labda kama utaeleza uelewa wako kuhusu hiloneno la constructive manslaughter/ liability na au devolved admistration. Haya sio mambo ya jumla jumla Poti.Acheni kila Kitu kutupia tu lawama Mamlaka / Serikali sawa? Kwahiyo ukiambiwa kuwa Demu fulani ana UKIMWI na Usimkaze Wewe utataka hadi Waziri wa Afya / Rais wa Nchi aje Chumbani Kwako Ghettoni akuzuie Usimbandue huyo Demu? Siku zingine jitahidi ujue Kufikiri vyema kwani kwa leo Umechemsha mno Kifikra hapa.
Acheni Wafe hakuna namna. Huna sina Huruma hata Kidogo kwa Watu Wapumbavu na nashangaa kuona wapo Wanaohuzunika nao.sasa na raia kwa nini waliamua kuendelea na safari ijapokuwa wamesikia wenzao wakiwaonya? Na sisi pia tutumie akili kidogo, mtu asiwaze tu kuwa anataka kuwahi safari.
Umepofushwa na matokeo tuYaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa ujeuri wake akaendelea kutaka Kuvuka na hatimaye lori Kusombwa.