Dereva Mzembe asababisha vifo vya watu 10 baada ya lori kusombwa na maji kwenye mto uliofurika

Umeongea mengi lakini ukweli ni Tairi kuwa na upepo kama mdau alivyokwisha elezea. Zaidi tembelea mtandaoni ukajifunze.
 
Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Mkuu,
Mataili ya magar Yana UPEPO kwenye maji yanakua boya (Yana elea juu juu) so its obvious kupelekwa na maji
 
Nimekupata, ngoja wafe ndio Akili ziwaingie
 
Ingeweza kupita kama barabara ingekuwa ni ya lami,lakini ikiwa ni ya mchanga kila tairi linapokanyaga maji yanafukua chini, yake kwahiyo kinachofuata ni gari kupoteza muelekeo...
Wewe ndie mwenye akili zaidi ya wote waliochangia huu uzi. BIG Up.

Na inawezekana kabisa, wazo la kudhani gari ingepita dereva alikuwa nalo kwa kutumia experience ya barabara ya lami, asijue pale alikuwa anatembea kwenye mchanga..

Ajabu unaona ndezi mwingine anakuja hapa na habari ya meli haizami shilingi inazama..
 
Kuna mmoja kapona amepanda juu ya mti
Na nina uhakika huko huko Juu akitulia na Kukaguliwa vizuri lazima tu atakuwa Aliukweka ( Alikunya ) kwani Kifo hakina Commando.
 
Upthrust Theory si ndiyo Mkuu au? Sikuwa vibaya sana katika Physics japo nilichukua Masomo ya wenye Akili kubwa ya Arts.

1. Mkuu "Fluid dynamics, Fluid mechanics" ni taaluma pana zinazamiwa na hata kubobewa!

2. Ngoja nielimishe chawa huyu, mjini ataolewa! Uchawa wake kama mwingine wowote ni kazi ya laana!
 
Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Traction contact is reduced to almost zero. So the buoyacy takes place The reason is, the traction is reduced to almost zero. So the buoyacy effect takes place.
 
Yaani unataka Watu wapoteze muda kuwaokoa Wapumbavu wa Kujitakia Shida na Umauti wa wazi wazi Wenyewe Mkuu?
Uhai hauna repair mkuu, waokolewa hata kama ni wapumbavu.

Kama kulikua na uwezekano wa kuokolewa na waokolewe.
Yaani wafe kisa tu ni wapumbavu, hiyo sio sawa.
 
Hivi kwa Utaalam wako Mkuu unadhani kati ya hao Raia unaowaona Wamezama Majini Mtoni kutakuwa na Aliyepona hapo?
Walifariki 9 na baadhi kuokolewa na kuna wengine hawajapatikana
 
Kwangu Mimi Dereva na Waliopanda ( hata kama Wamekufa ) wote ni Wapumbavu tu na wala sioni Aibu kuwaita hivi.
Wapuuzi sana, dereva alikuwa kasimamisha gari ila kuna jingine likapita ndio huyo akaamua kuiga, wengi wa walikuwa nyuma walipandia Hilo gari hapohapo
 
Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Hahahahaaa

Wewe ulikua unadoji masomo ya archimedes.

Matairi ya kwenye gari yana-act kama maboya, no matter uzito wa gari, volume ya maji ikizidi tu ngoma inaelea na inafuata direction ya maji.
 
Wapuuzi sana, dereva alikuwa kasimamisha gari ila kuna jingine likapita ndio huyo akaamua kuiga, wengi wa walikuwa nyuma walipandia Hilo gari hapohapo
Acheni Wafe mnawaonea Huruma ya nini? Hivi ilihitaji Degree hapo kujua kuwa Maji hayo ya Mto ni mengi na Hatarishi Kwao? Wala sisikitiki kwa huko Kuzama na Kufa Kwao kwani kwa 100% ni kama vile Walishapanga kuwa wanataka Kufa katika Mafuriko hayo labda ili wakapumzike na Maisha magumu waliyonayo duniani.
 
Madereva wazembe, walevi, wabeba murungi miraa n.k inabidi wapigiwe wimbo huu redioni KBC, RADIO MAISHA, Jalang'o FM, Jaluo dot Kom n.k kila siku kuhusu umuhimu wa usalama kazini na kuendesha kwa maarifa makubwa.....

MADEREVA WENYE FUJO
2022 31 January video from Ben Nkonya

View: https://m.youtube.com/watch?v=5NI7lDRYQaM
 
Uzembe Ni Mamlaka husika kutoifunga hiyo barabara Kwa mafuriko. Constructive manslaughter/ corporate manslaugher inawahusu Kama kweli tupo serious Na uhai wa watu
Huu mchezo wa kutaka kulaumu serikali kila saa bila kuangalia wajibu wetu utatuua wa Africa sanaa, yan wew unaona hio barabara ilivyo hivo na maji bado unataka watu waje waweke magogo kuifunga usipite ? Umekuwa kuku wew ? Kwamba huwez tumia akili kuona hapo hapapitiki ? Mamlaka hazina kosa hapo, ni upuuzi wa waliokuwepo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…