Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Kama muda wake wa kukaa huko ughaibuni uliisha na hakuwa na dalili angefanyaje zaidi ya kurudi nyumbani?
 
Sasa Mimi sijaelewa, hivi umeuliza swali au umetoa taarifa? Maaana heading na Maelezo ni vitu tofauti Kabisa maana umetoa taarifa kuwa hana corona, halafu huku unalalamika

Sent using Jamii Forums mobile app

MODs wamebadili title - wakapotosha. Soma comments zangu utaona nililalamikia hilo.
 
Yaani corona inaweza kuwa detected in 1 day. Hii Bongo vituko haiviishi...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshaambiwa aliji'quarantine mwenyewe

Mnaumwa kbs nyie
Mnajiona TZ keki kwamba hamuwezi ugua sio

gonjwa liko Marekani nk nyie mna nini..inahusuu?
Asisafiri alizuiwa kwani!!?
Wewe dada sijui huwa unapata muda wa kujitathimini Mambo unayoandikaga huku?

Alijiquarantine hotelini? Hiyo hoteli alikodisha yote peke yake? Gari alilotumia alikodisha alitumie peke yake?

Hiyo akili yako inakwambia ndio self quarantine eti?

Kwamba ugonjwa ungekuja tu, kizembe hivyo? Na bado unajiona umeandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata yeye alikuwa anajua kuwa kuna ugonjwa kama ww na anajua nchi aliyotoka ina huo ugonjwa ndo maana labda akaamua kuchukua tahadhar .maana hakuwa na uhakika kama ameathirika au la .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnakwepa nyie watetezi wa huyo dada asiye na akili Kama sura yake. Hotelini ndio quarantine?
Eti ataongea na waandishi wa habari kwani akiongea ndio aliowaambukiza watapona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaji fungia ndani baada ya Hapo alienda Hospital kwa nini asinge kwenda Nyumbani?
 
Mi sio Isabela
Ila i js feel for her cause she is js a victim..not the cause

ilikua suala la muda tu Corona ingeingia eitherways
Isabela si wa kuhukumiwa.,
Bila Shaka utakuwa mfupi na kifutu, sijawahi kuona watu wa namna hii wakiwa na akili timamu.
Kote huko alikotoka wanatoa elimu kuhusu self quarantine, jee hivi alivyofanya ndio self quarantine just because she is a victim?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa ndugu yako ungesema hivyo apigwe shaba chukua labda kuna mdogo wenu anasoma huko nchi za watu na mama alienda kumuona ungesema apingwe shaba sometimes think beyond youre imagination

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye familia yangu kwanza hakuna mjinga hivyo anayeweza kurisk maisha na kusafiri huku kukiwa na janga la huu ugonjwa kila mahali, just note that

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa mahututi ( mauti uti[emoji23][emoji23]) angesema visa imeisha? Aache mapepe utu uzima wake anafanya vitu vya kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alieleza wasiwasi wake Airport? Yani kwa Nini asingeeleza huo wasiwasi wake Airport Kama Nia ilikuwa kupunguza maambukizi?

Akili zako Ni Kama zake tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnakwepa nyie watetezi wa huyo dada asiye na akili Kama sura yake. Hotelini ndio quarantine?
Eti ataongea na waandishi wa habari kwani akiongea ndio aliowaambukiza watapona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angeenda kwake achague chumba kimoja ndiyo aji quarantine, si wanasema anamiliki sijui vitu gani huko si kuna vyumba kwanini asingeenda huko kakimbila hotel na itakuwa aliwataarifu kabisa ndugu zake, hajatulia huyo dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…