Haya ni maneno tu ya watu; Isabela Route anasafiri sana, hata huku Ughaibuni huwa anakuja sana;
Ni dada ambaye kweli kabisa ni Mstaarabu ni jirani kule Njiro, Korona Block....(), Ana asili ya Ustaarabu sana;
Huwa anakuja Ughaibuni kwa ajili ya Machangizo na Kutafuta wadhamini kwa ajili ya Shule, ana Shule zake na huwa anaseal na mambo ya Watoto yatima etc;
Last time niliporudi, alinialika Kanisani kwao Calvary Temple Arusha; Kwa tuliomzoea amekuwa anasafiri sana Tena hii ya Juzi hakuwa na Route Nyingi Maana Hakwenda France, Switzerland and Finland sijaona kwenye route zake ;
Hivyo Kwa kadiri ya Ninavyomfahamu kidogo tu yeye ni safari zake hazikuwa intention kama watu wanavyosema Mitandaoni.
Sababu ya kutokwenda Home ilikuwa alijihisi ndivyo sivyo, na kwa sababu akienda Home posibility ya Ku-spread incase ana virusi ni kubwa; Ndio akaamua kwenda Hotel kwanza, na kisha kwenda mount meru mwenyewe?? Aliposhuka hakupanda Shuttle pale KIA, ili kupunguza maambukizi; Aliamua Kupanda Taxi; Hivyo hayoyote yanafuta dalili kwamba Hakuwa na Intention mbaya.